Hii imekaaje wakuu?

Hii imekaaje wakuu?

puker

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
1,024
Reaction score
2,088
Kuna siku nikiwa kwenye mishe zangu maeneo ya Ilala MTAA wa Arusha nilisikia sauti za watoto wakiiniita kando ya Barabara walikuwa kwenye UBA imepaki, walikuwa watoto wa kihindi, (Maisha safi) kamoja kakanionesha noti ya Tsh 10,000 kaka niambia njoo uchukue kaka, nikatabasamu nikamwambia Ahsante lakini sikuifwata... Je nilikuwa sahihi? Maana Kuna mtu ameniambia hiyo ni ishara nzuri wewe hukuelewa Lugha ya kiroho🤔

Hebu naombeni maoni yenu na ufafanuzi
 
Sasa kukaa kwa shemeji kuna tatizo gani ikiwa ugali wa kutosha upo?😄
Unaona sasa ulivyo wa hovyo, unawezaje kamwambia mtu anaishi kwake ana njaa huo ujasiri unautoa wapi? 🤣🤣🍹🍹
 
Back
Top Bottom