Hii imekaaje? Wachaga kuchukua nafasi 25 kati ya nafasi 40 zilizotangazwa na Taasisi kubwa ya Serikali

Nimesoma hii mada nimecheka sana! Nimehesabu kimoyo moyo idara yetu ina watu 8 ila wa 5 ni wachaga, nikaifikiria idara nyingine wapo 4 ila wa 3 ni wachaga, Ajabu ni kuwa mkurugenzi si mchaga, na interview ina fanywa na bodi nzima hakuna hata punje ya connection, kungekuwa na connection mi nisingetoboa, Tutapiga kelele sana ila wachaga ni level nyingine.
Nahisi tungeishia hapa maana jibu limepatikana... Asante sana ndugu kwa maelezo yako
 
Acha ufarasi wewe,shwaini, wachaga wamejaa ubaguzi wa hali ya juu,tunaishi nao na kufanya nao kazi tinajua na kuona, hilo ni kabila linaongiza kwa ubaguzi likifuatiwa na wahaya,

Mimi nimewahi kufanya biashara fulani ambayo msimamizi wake alikua ni mchaga,alikua anamwambia wazi wazi yule aliyetulengesha kwenye hiyo biashara kwamba tafuta gari za wachaga kwanza kabla ya hizi za wengine,ile biashara ilifanikiwa kwangu baada ya wahusika wakuu kutoka nje ya ukumbi wa mikutano kuona zile gari zangu zilivyo nzuri, akaishia aibu mshenzi mkishumundu yule,nina mifano mingi sana ya ubaguzi wa wachaga na kujifanya wao wanajua kila kitu,unasema kufanikiwa kibiashara?kwa magendo labda,tunawajua sana nyie ni washenzi tu hamna maana,tupo nao mikoani,hatuwabagui na wanafanya kazi zao mpaka za vichichoroni hatuwagusi,lakini makabila mwingine aje aendeshe biashara pale Moshi au hapa Arusha,ni tatizo hawapendi kuona mafanikio ya mtu wa kabila jingine

Nyie ni shenzi sana nyie,naongea kwa sababu nawajua sana na nimekutana nanyi kwenye biashara na maofisini kazini, hamfai hata kidogo nyie.

Wakati wa Kimei kule CRDB,kuna tawi lisilo na mchaga? Lakini vyuo vinatoa maelfu ya wasomi kila mwaka, kwamba wooote hao ni wachaga?

Nyaanoko
Acha wenge na matusi kijana, unataka kusema ukitaka kufanya biashara Moshi au Arusha watakuzuia?? mawazo mufilisi kabisa, suala la huyo uliekutana nae kwenye deal za magari ni yeye kama yeye usihukumu kabila zima
 
Hacha kutema povu la mbege bwana Ujamaamf.

Kwahiyo wachaga hamsomei uwalimu?

Serikali lazima iwachunge mnachochea nepotism sana kazini na kwenye ajira.

Una chuki binafsi kijana afu si kama kawa tunaendelea kwenda mbele. Serikali inatambua na kuthamini uwezo wetu ndio maana inatupa ajira kwa wingi. mkitaka leteni chuki msituajiri bado kwene biashala tutawaburuza. Vipi kwani pale kariakoo na Dar es Salaam stock exchange napo tumebebwa ?. Afu skuizi tumehamia kwene uwekezaji wa viwanda, real estate, cargos shipping, transportation na ununuzi wa hisa,bonds huko duniani na hapa nchini je tumebebwa. huko geita mnaendeleaje na ufugaji wa fisi. Tusomee ualimu wa nini,wenzenu tunasomea usimamizi wa elimu na mipango yake ila sio nyinyi washika chaki wa Kiswahili na geography. Kuna mdau kasema mabucha ya kuuza nyama ya nguruwe tunaongoza, napo tumebebwa. Mtaishia kua maboya akati watoto wa wastaafu wanaendelea kunehemeka na Keli ya nchi wengine ni mawaziri, maraisi na manaibu wengine ni makatibu nyie mpo bize na wanywa mbege akati ndugu zenu hata ukuu wa idara hawana
 
Leo katika kujadili tatizo la ajira nchini na watu kadhaa, basi mfanyakazi mmoja wa taasisi kubwa ya elimu ya juu iliyopo Dar es salaam ambayo pia inajulikana kwa jina la utani JALALANI, akaibuka na kusema kwenye hiyo taasisi walitangazaga nafasi 40 za kazi na 25 waliajiriwa wachaga.

Sasa ikabidi nijiulize maswali yafuatayo baada ya mjadala huo;

Je ina maana Watanzania wengine ambao siyo wachaga probability yao ya kupata kazi kwenye hiyo taasisi ni mdogo sana?

Je inawezekana management yote ya taasisi imejaa wachaga tu?

Je ajira hizo hazikupitia Utumishi?

Je kwenye hiyo taasisi kuna nepotism ya kuwapa kipaumbele wachaga?

Makabila mengine hayana wasomi wanaostahili nafasi hizo? , hadi wachaga 25 Kati ya 40 kuajiriwa kwa mkupuo tena kwenye taasisi moja.

WITO KWA SERIKALI.

Serikali fuatilieni kwenye taasisi zote ambazo zinaajiri bila kupitia Utumishi, kuna nepotism ya kutisha.

Watanzania wote wenye sifa na vigezo wana haki sawa ya kuajiriwa na Serikali bila kujali makabila yao.
Kama ni kweli siwezi kushangaa ni kawaida kwao.
Mimi nilishaga kuwa muhanga wa hii Nepotism,niliwahi kupeleka cv kwenye kampuni moja la madawa kwa ajili ya nafasi ya MRO, nikaitwa kwenye usaili nikakuta kuna wenzangu wawili, jumla tukawa watatu, tukaambiwa nafasi ipo moja hivyo ni lazima tufanye interview. Tukafanya interview kwenye Panel walikuwa wahindi wawili na mtanzania mmoja, ambaye ndiye alikuwa HR wa hiyo kampuni.

Baada ya muda nikapigiwa simu nimefaulu usahili na nimepata hiyo kazi na kituo cha kazi kilikuwa mkoani Arusha. Nikaambiwa niripoti ofisini kwao na vyeti vyangu vya taaluma na cha kuzaliwa, siku nimeripoti kazini ili nipewe mkataba na maelekezo kadhaa kuhusu kituo ninachokwenda kufanyia kazi, Yule HR akapokea vyeti badae akaniita ni kuuliza wewe ni kabila fulani?, Nikajibu ndiyo, alinitamkia maneno ambayo kamwe sitayasahu mpaka leo kisha akanambia 'NENDA KABILA LAKO LIKUAJIRI'.

Huyo HR alikuwa anaitwa LEGNALD MSUYA, hivyo ilinifanya nigundue ni mchaga kutokana na hilo jina lake, kwanza nilishangaa sana maana wachaga ni ndugu zangu kabisa, kuna baadhi ya ndugu zangu wameoa uchagani.

LEGNALD MSUYA kama humo humu, nazani utanikumbuka sitakusahau kamwe na siku nikija kushika uongozi mkubwa katika Nchi hii, lazima nikutafute popote pale utakapokuwa. LEGNALD MSUYA ulaniwe kabisa takataka wewe.

Ubaguzi wa ukabila siyo mzuri Watanzania wenzangu, tuache kabisa, wenye nyazifa za kufanya maamuzi tendeni haki sawa kwa Watanzania wote.
 
Hawa jamaa ni hatari sana, Serikali inatakiwa Kuwa makini sana na hawa watu.
 
Msuya ni Wapare, tena kiasili ni wa Ugweno.
 
Msuya sio WAPARE......??
 
Pole sana kaka kwa hayo maswahibu,

Watu mkitaka kujua hii issue iko serious njooni muone wahadhiri na HODs wa chuo cha Dodoma, SUA na Mzumbe. Hawa jamaa mie ni shemeji zangu kabisa ila duuuuh kwa ubaguzi hapana mbaya zaidi hata mkaka kupata manzi wa kichaga ni shida sana

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nani alikwambia Msuya ni Mchaga?

Anyway

Hapa tuachane na vyeti.

Kama una degree moja au hata mbili usifikiri unaweza kupata kazi yoyote.

Kwanza.
Mtu anayejitambua yeye hupenda kupimwa kwenye kazi na siyo vyeti.

Siku hizi Vijana wanakuja kwenye Makampuni kuomba kujitolea kufanya kazi.

Ukimuuliza unataka kufanya kazi gani atakwambia yoyote.

Ukimpa kazi ya kupakia mizigo anaitikia chap chap ...huyo ni Mchaga..

Atafanya hiyo kazi kwa umakini na furaha na chochote utakachomlipa atapokea...

Sasa kuna watu wana kitu kinaitwa Ego....

Yeye atakuja na Macheti...

Ataleta CV...

Ataleta matheory ya kutosha...na atakutajia Profession yake...hapo hakuna mtu hapo...

Ujuzi na tabia ya Kujituma ndiyo siri ya hao wajamaa-Chaga....

Watizameni kwenye Majiko ya kuchoma nyama ys mbuzi...hata kama jamaa ni Tajiri bado atarndelea kuchoma mbuzi wake taratibu....
 
Unazunguka bure tu na mabo Yako ya nyama, mwenzako ameelezea kitu alichokiexperience alafu wewe unadefend Nepotism ya ukabila kwa hoja za kuchoma nyama.

Serikali lazima iwe chonjo na hili suala.
 
Pole sana kaka kwa hayo maswahibu,

Watu mkitaka kujua hii issue iko serious njooni muone wahadhiri na HODs wa chuo cha Dodoma, SUA na Mzumbe. Hawa jamaa mie ni shemeji zangu kabisa ila duuuuh kwa ubaguzi hapana mbaya zaidi hata mkaka kupata manzi wa kichaga ni shida sana

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mambo kama haya ndo yanajenga chuki na kisirani cha kudumu, ndiyo maana watu wengine wakipataga fursa na wenyewe ulipiza kisasi.
 
Kama ni kweli siwezi kushangaa ni kawaida kwao.
Mimi nilishaga kuwa muhanga wa hii Nepotism,niliwahi kupeleka cv kwenye kampuni moja la madawa kwa ajili ya nafasi ya MRO, nikaitwa kwenye usaili nikakuta kuna wenzangu wawili, jumla tukawa watatu, tukaambiwa nafasi ipo moja hivyo ni lazima tufanye interview. Tukafanya interview kwenye Panel walikuwa wahindi wawili na mtanzania mmoja, ambaye ndiye alikuwa HR wa hiyo kampuni.

Baada ya muda nikapigiwa simu nimefaulu usahili na nimepata hiyo kazi na kituo cha kazi kilikuwa mkoani Arusha. Nikaambiwa niripoti ofisini kwao na vyeti vyangu vya taaluma na cha kuzaliwa, siku nimeripoti kazini ili nipewe mkataba na maelekezo kadhaa kuhusu kituo ninachokwenda kufanyia kazi, Yule HR akapokea vyeti badae akaniita ni kuuliza wewe ni kabila fulani?, Nikajibu ndiyo, alinitamkia maneno ambayo kamwe sitayasahu mpaka leo kisha akanambia 'NENDA KABILA LAKO LIKUAJIRI'.

Huyo HR alikuwa anaitwa LEGNALD MSUYA, hivyo ilinifanya nigundue ni mchaga kutokana na hilo jina lake, kwanza nilishangaa sana maana wachaga ni ndugu zangu kabisa, kuna baadhi ya ndugu zangu wameoa uchagani.

LEGNALD MSUYA kama humo humu, nazani utanikumbuka sitakusahau kamwe na siku nikija kushika uongozi mkubwa katika Nchi hii, lazima nikutafute popote pale utakapokuwa. LEGNALD MSUYA ulaniwe kabisa takataka wewe.

Ubaguzi wa ukabila siyo mzuri Watanzania wenzangu, tuache kabisa, wenye nyazifa za kufanya maamuzi tendeni haki sawa kwa Watanzania wote.
Bila shaka utakuwa mhaya wew...

Mimi nishafukuzwa ofisi mbili kisa jina langu la mwisho ni la kihaya...

Na nina marafiki wengi tu wa kihaya wanapitia adha hii
 
Pole sana kaka kwa hayo maswahibu,

Watu mkitaka kujua hii issue iko serious njooni muone wahadhiri na HODs wa chuo cha Dodoma, SUA na Mzumbe. Hawa jamaa mie ni shemeji zangu kabisa ila duuuuh kwa ubaguzi hapana mbaya zaidi hata mkaka kupata manzi wa kichaga ni shida sana

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nilishangaa sana, mtu analeta ukabila dunia ya sasa, ila huyo jamaa ntamtafutaga tu popote pale atakapokuwa.
 
Nani alikwambia Msuya ni Mchaga?

Anyway

Hapa tuachane na vyeti.

Kama una degree moja au hata mbili usifikiri unaweza kupata kazi yoyote.

Kwanza.
Mtu anayejitambua yeye hupenda kupimwa kwenye kazi na siyo vyeti.

Siku hizi Vijana wanakuja kwenye Makampuni kuomba kujitolea kufanya kazi.

Ukimuuliza unataka kufanya kazi gani atakwambia yoyote.

Ukimpa kazi ya kupakia mizigo anaitikia chap chap ...huyo ni Mchaga..

Atafanya hiyo kazi kwa umakini na furaha na chochote utakachomlipa atapokea...

Sasa kuna watu wana kitu kinaitwa Ego....

Yeye atakuja na Macheti...

Ataleta CV...

Ataleta matheory ya kutosha...na atakutajia Profession yake...hapo hakuna mtu hapo...

Ujuzi na tabia ya Kujituma ndiyo siri ya hao wajamaa-Chaga....

Watizameni kwenye Majiko ya kuchoma nyama ys mbuzi...hata kama jamaa ni Tajiri bado atarndelea kuchoma mbuzi wake taratibu....
Sijaelewa hata unajaribu kuongea nini hapa.
 
Bila shaka utakuwa mhaya wew...

Mimi nishafukuzwa ofisi mbili kisa jina langu la mwisho ni la kihaya...

Na nina marafiki wengi tu wa kihaya wanapitia adha hii
Ego ego waitu.

Ila yule jamaa nimemuandika kwenye diali ili nisije kusahau.

Aya mambo ya kutumia majina ya ukabila kwenye vyeti siyo kabisaa, sema mimi Nyaraka zangu nyingi ni majina mawili na hakuna la ukabila, kwhy bila mtu kuona cheti cha kuzaliwa ni ngumu sana kubaini kabila langu.
 
Back
Top Bottom