Leo katika kujadili tatizo la ajira nchini na watu kadhaa, basi mfanyakazi mmoja wa taasisi kubwa ya elimu ya juu iliyopo Dar es salaam ambayo pia inajulikana kwa jina la utani JALALANI, akaibuka na kusema kwenye hiyo taasisi walitangazaga nafasi 40 za kazi na 25 waliajiriwa Wachaga.
Sasa ikabidi nijiulize maswali yafuatayo baada ya mjadala huo;
Je, ina maana Watanzania wengine ambao siyo Wachaga probability yao ya kupata kazi kwenye hiyo taasisi ni mdogo sana?
Je, inawezekana management yote ya taasisi imejaa Wachaga tu?
Je, ajira hizo hazikupitia Utumishi?
Je, kwenye hiyo taasisi kuna nepotism ya kuwapa kipaumbele Wachaga?
Makabila mengine hayana wasomi wanaostahili nafasi hizo, hadi Wachaga 25 Kati ya 40 kuajiriwa kwa mkupuo tena kwenye taasisi moja?
WITO KWA SERIKALI.
Serikali fuatilieni kwenye taasisi zote ambazo zinaajiri bila kupitia Utumishi, kuna nepotism ya kutisha.
Watanzania wote wenye sifa na vigezo wana haki sawa ya kuajiriwa na Serikali bila kujali makabila yao.