JM K
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 616
- 543
Nahisi tungeishia hapa maana jibu limepatikana... Asante sana ndugu kwa maelezo yakoNimesoma hii mada nimecheka sana! Nimehesabu kimoyo moyo idara yetu ina watu 8 ila wa 5 ni wachaga, nikaifikiria idara nyingine wapo 4 ila wa 3 ni wachaga, Ajabu ni kuwa mkurugenzi si mchaga, na interview ina fanywa na bodi nzima hakuna hata punje ya connection, kungekuwa na connection mi nisingetoboa, Tutapiga kelele sana ila wachaga ni level nyingine.