Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

Kwa hiyo nikirecord 4k 60fps ni sawa na mtu wa tecno akirecord 4k 6pfps?

Kwanza nimeenda mbali. Hakuna Simu ya Tecno inarecord 4k at 60fps.

Imagine katika simu zote za tecno zilizopo sokoni simu yenye OIS kwenye camera ipo moja tu.
Tecno phantom 8 ya mwaka 2018 inagonga 4k na 30fps

NB. mwaka 2018

Wakati huo hao unao waabudu bado hawakua na uwezo huo
 
Tecno phantom X inagonga 4k 60fps

Imetoka mwaka huu

Ujinga mtupu mnajaza vichwan
 
Hizo simu za uwezo huo unaziona tu kama uchi wa mtoto, huna uwezo wa kuimilik

Swala la pili ni Toleo moja tu la samsung sijui hizo S21 Samsung

iPhone n kuanzia iPhone 12 .. kimsingi nao n toleo moja hili la sasa la pili

Nayo unaiona kama uchi wa mtoto tu
Uchi wa mtoto my foot

Screenshot_2021-10-22-14-24-36-436_com.android.camera.jpg

Hii Xiaomi yangu ya mwaka 2019 inagonga 4K at 60fps na ina OIS.

Heheheheh niletee tecno inayopiga 60fps hata ya 1080p....
 
Tecno phantom X inagonga 4k 60fps

Imetoka mwaka huu

Ujinga mtupu mnajaza vichwan
Hahahah... Haya wangapi wana simu kama hiyo?

Kwanza simu yenyewe ina Soc ya 12nm.

Imagine 12nm mwaka 2021. Halafu unalipa milioni.

Aiseee utakuwa Poyoyo...
 
Tecno phantom 8 ya mwaka 2018 inagonga 4k na 30fps

NB. mwaka 2018

Wakati huo hao unao waabudu bado hawakua na uwezo huo
Oneni hii takataka kwa hiyo tecno phantom 8 ndio simu ya kwanza kurecord 4k at 30fps. Hahahahh watu wa tecno mna shida sana.

Imagine Samsung s5, Sony Xperia Z3, LG G3, Samsung Note 4 n.k zote ni simu za 2014 ila zilikuja na uwezo wa kurecord 4k at 30fps.

Halafu wewe unakuja kusifika simu iliyotoka miaka minne baadae? Serious?

Watu wa tecno mna shida sana.
 
Hahahah... Haya wangapi wana simu kama hiyo?

Kwanza simu yenyewe ina Soc ya 12nm.

Imagine 12nm mwaka 2021. Halafu unalipa milioni.

Aiseee utakuwa Poyoyo...
Unaanza ruka ruka ??

Mambo yanabadilika, kilicho tokea ni 2010,s sio kinacho endelea ni 2020,s Huku

Gap lilikuwepo zamani sio siku hzi , hiyo kitu haipo
 
Unaanza ruka ruka ??

Mambo yanabadilika, kilicho tokea ni 2010,s sio kinacho endelea ni 2020,s Huku

Gap lilikuwepo zamani sio siku hzi , hiyo kitu haipo
Gap bado ni kubwa....

Labda siku tecno akiingia kwenye Soc za Mediatek ambazo ni Dimensity na hapo hamtauziwa tena simu kwa laki 2.

Ila as long as tecno inatumia Mediatek za kawaida basi itabaki kuwa trash...
 
Na hiyo simu yenye 4k 6fps n simu gani? Au ulikosea kuandika
 
Na hiyo simu yenye 4k 6fps n simu gani? Au ulikosea kuandika
Siyo 6fps ni 60fps

Zipo simu nyingi zinazorecord 60fps ya 4k. Kuanzia simu nyingi zilizotoka 2019 na SoC ya SD 855 zinarecord 4k at 60fps. Hapa kuna msururu wa simu nyingi sana.
 
Siyo 6fps ni 60fps

Zipo simu nyingi zinazorecord 60fps ya 4k. Kuanzia simu nyingi zilizotoka 2019 na SoC ya SD 855 zinarecord 4k at 60fps. Hapa kuna msururu wa simu nyingi sana.
Soma kule juu, uliandika sim inayo rekod 4k 60fps n sawa na simu inayo record 4k 6fps?

Uliandika hivyo, manake nikiangalia simu karibun zinaanza 30fps hadi 60fps
 
Kwamba hii iliyopo humu inafanana na hizo zilizotajwa? Acheni masihara jamani, nunua na kipende kitu chako usitake kukishindanisha!

82A2166F-D982-416A-9C90-473F7D690AB8.jpeg

Mipango inatofautiana, vipaumbele pia na majukumu vile vile, Sina uwezo wa ku jenga nyumba ya 100M hata simu nzuri pia?? Hapana 😀
 
Back
Top Bottom