Ngozi haina tabiaNgoja wamtoe ili jirani astuke ajue haki aibiwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngozi haina tabiaNgoja wamtoe ili jirani astuke ajue haki aibiwi.
Alifungwa kwa makosa yake, pia hata Mbowe akifungwa ni kwa makosa yanayojulikana, kwa Bob wine nitofauti, yeye hajafungwa yuko kashikiliwa bila sabauIvi Sugu hawakusikia kuwa kafungwa?
Magufuli Badly Shaken By Bobi Wine Developments
Siasa ni sehemu ya maisha,maamuzi ya wanasiasa uathiri mfumo mzima wa maisha,utake usitake utalazimishwa kuongelea siasa tu,pale nyumba yako itakapobomolewa ulale nje,fukuzwa shule,bei ya sukari,mafuta,nauli kupanda,kuzuiliwa kuuza nje mazao yako,foleni mijini. NkBara la Africa na bara la Asia pamoja na Nchi za Falme za kiarabu (Middle East),hakuna Siasa wala cha Democrasia.
Isipokua Siasa ipo tu kama imewekwa kiushahidi tu.Lakini kiuhalisia zaidi hakuna Siasa wala Democrasia ya ukweli.
Ni bora tungeshughulika na mijadala mengine kuliko kupotezeana Muda kwa kujadili Siasa au Democrasia♂️
Dawa ya kotapini ni nyundo,asiposoma alama za nyakati yatamkuta ya ghadafi,gabgo,idd amini, huwa wanaelewa wakishachelewa.Hiyo inaitwa KOTAPIN! ikiingia inagongwa na ikitoka lazima igongwe..sasa dogo ndo mgongaji
Dawa ya kotapini ni nyundo,asiposoma alama za nyakati yatamkuta ya ghadafi,gabgo,idd amini, huwa wanaelewa wakishachelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa ni sehemu ya maisha,maamuzi ya wanasiasa uathiri mfumo mzima wa maisha,utake usitake utalazimishwa kuongelea siasa tu,pale nyumba yako itakapobomolewa ulale nje,fukuzwa shule,bei ya sukari,mafuta,nauli kupanda,kuzuiliwa kuuza nje mazao yako,foleni mijini. Nk
Sent using Jamii Forums mobile app