Hii hali kwangu ndio ngumu kuliko

Hii hali kwangu ndio ngumu kuliko

R_Breazy

Member
Joined
Aug 28, 2025
Posts
47
Reaction score
72
Heri ya siku kuu ya krisimasi ndugu zangu. Hope nyote mko salama

Life ni gumu kuzidi kupambana kila siku ila tusisahau kuhusu maua mazuri ambayo mwenyezi Mungu katubariki Tanzania na duniani kote.

Hatua zote za kumpata binti kwangu kuna hili moja huwa inanisumbua sana, huwa inanitokeaa hasa nikikutana na mrembo class fulani au wale wanaonipa wakati mgumu time ya kumshawishi hadi akubaliane na mawazo yangu.

To cut story kuna kamanzi nimekafukuzia kama wiki moja kila nilipokuwa nakibana jibu "SUBIRI NITAKUPA JIBU" sikuwa na haraka hadi jana ndio kamenipa jibu la YES kiuhalisia tangu hiyo jana nimekosa swagga nzuri ya kukaeleza nije kula mali.

NI jirani yangu kiukweli nyumba moja tu tunatofautiana ni kazuriii hadi nakosa namna nzuri ya kukaomba show wakuu.😁😁

Nipeni tips nzuri nkakule before vyuo avijafunguliwa, mwanzo mgumu
 
Hiyo ndo shida ya kutongoza na kusubiri majibu.

kwa upande wangu kutongoza kwa kumwambia mwanamke "nakupenda" nilifanya hivyo enzi za sekondari huko. unapotongoza tumia point za kuonesha unamhitaji siyo unampenda, means siku ya atakayokuja kwako mkapeana atakuwa amemaanisha kuwa kakubali.

dah nachoka kuwaeleza kila kitu, wakati ujao mtaanza kunipa bukubuku za kuwafundisha
 
Sasa kama ndohivi.utaweza kumuuliza amechelewa wapi
 
Back
Top Bottom