KabisaNgoja nikitulizeš¹
Inaweza kumaanisha niniShida ni kwamba asilimia kubwa ndoto huwa katika mafumbo au tuseme lugha ya ndoto ni metaphor, kwahiyo unaweza ukawa uliota ndoto kuhusu jambo ila usijui ukapotezea kwa sababu ya kushindwa kuelewa lugha ya ndoto na ukaishia kusema haujaona jambo lolote.
Mleta mada ni kwa sababu ana safari ndio maana hiyo ndoto imemshughulisha.
šš½šš½Asante siendi
usilale we njoo straight utakuja kulala hukuššTatizo ndoto hainiruhusu