Hii Hali inatokana na Nini ?!

Hii Hali inatokana na Nini ?!

Habari
Nafupisha hii mada
Kuna huyu mtu nilipanga kumtembelea kwanzia December nitoke mkoa A mpka mkoa B
Things went as we planned...ila cha kushangaza tukiplan kuhusu hio safari nikilala tu naota ajali tu ikabidi nimwambie sikukuu ziishe Hali irudi kawaida nitamtembelea...

Tukazidi kujipanga huku tukisubiri kuvuka mwaka wa 2026 uishe .....

Tatizo linaanza tu tukiongelea tu hio safari naota ndoto za kutisha kama nimepata ajali na nimefariki ..

Hii ni ndoto tu au Kuna ujumbe ndani yake maana nimeota zaidi ya mara tatu......
Unatumia godoro Gani!? 🤔
 
hahahahahaha! Kwamba unaogopa tusije tukasema R.I.P Mallerina! Hahahahahaha!
 
Hivi hii Brucellosis inakuwa vipi mkuu?
hio ni zoonotic d'se inatoka kwa mnyama kwenda binadamu kupitia maziwa,nyama..nk
vile vile inatoka kwa mtu Moja kwenda kwa mwengine through mating ikimkamata mwanamke anakua anatupa mimba kwenye last trimester kwa men unavimba kende inaambatana na dalili nyinginezo.

sjui utakuwa umepatwa mwanga kidogo?
 
Nilikuwa nafahamu ni ugonjwa unaotokana na bacteria kwenye maziwa ya ng’ombe, lakini sikuwa najua inarelate vipi na Conjugal.

Nimekupata.
 
Back
Top Bottom