Hii Hali inatokana na Nini ?!

Hii Hali inatokana na Nini ?!

Hebu wewe nenda hiyo safari halafu urudi kutupa mrejesho ili nasisi tujifunze kama inawezekana tuwe tunazipuuzia ndoto au tuwe tunazichukulia maanani

Katika hili mrejesho ni muhimu mkuu
Shida ni kwamba asilimia kubwa ndoto huwa katika mafumbo au tuseme lugha ya ndoto ni metaphor, kwahiyo unaweza ukawa uliota ndoto kuhusu jambo ila usijui ukapotezea kwa sababu ya kushindwa kuelewa lugha ya ndoto na ukaishia kusema haujaona jambo lolote.

Mleta mada ni kwa sababu ana safari ndio maana hiyo ndoto imemshughulisha.
 
Hii statement imefanya kwa muda mrefu niamini hakuna uchawi Wala majini ni mitizamo ya watu Tu!
Mwisho wa siku kila mmoja kama anaweza kufanikisha mambo yake au kutatatu changamoto zake kwa msingi wa vile alivyochagua kuamini hilo ndio jambo la msingi.

Maana hata baadhi ya madaktari hutofautiana kuhusu uelewa wa wa baadhi ya magonjwa na jinsi ya kuyatibu, na wote wanatibu wagonjwa zao.
 
Back
Top Bottom