Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,580
- 13,047
Tulia wewe mbona unataka kunitilia kitumbua mchanga.Punguza kudalalia wenzio mjusi mkuu
Tulia wewe mbona unataka kunitilia kitumbua mchanga.Punguza kudalalia wenzio mjusi mkuu
Atoe location!Nenda badala yake 🙃
Kumbe una kitumbua mzeeTulia wewe mbona unataka kunitilia kitumbua mchanga.
Nishazoea mwisho juzi nimeota nimeachika na jana ghafla bin vuu nimeachwa 😅😅😅We utaachika sana huu mwaka😂😂😂
HahahaAtoe location!
Unapenda sana ugomvi 😅Kumbe una kitumbua mzee
Ebo! Ninavyo vya kukaanga kwa mafuta cha kubakua bado sijaoa.Kumbe una kitumbua mzee
Pole harmful utapata tu wa kufanana naww usijali🫢Nishazoea mwisho juzi nimeota nimeachika na jana ghafla bin vuu nimeachwa 😅😅😅
Nisiulize lakini😆Unapenda sana ugomvi 😅
Kwamba inabid awe ndugu yangu au pacha 😅😅😅Pole harmful utapata tu wa kufanana naww usijali🫢
Uliza ila haya maswal tata utafanya watu wapandishe sukari 😅Nisiulize lakini😆
Wa kufanana matendo na ww kama ni mchawi na mzinzi😆Kwamba inabid awe ndugu yangu au pacha 😅😅😅
Mwenyewe napima kwanza.. huyu namjua hanaga sukari kwanza😆 kuna njemba kdg tu unalambwa mtama🤣💔Uliza ila haya maswal tata utafanya watu wapandishe sukari 😅
Daah hili la uchaw mbona Umenisimamia mimi kwani dosho12 si ndiyo kaanzisha 😅😅Wa kufanana matendo na ww kama ni mchawi na mzinzi😆
Kuna wengine wanakuja mpaka pm kwaajili ya vita uliyoanzisha bila kujua 😅Mwenyewe napima kwanza.. huyu namjua hanaga sukari kwanza😆 kuna njemba kdg tu unalambwa mtama🤣💔
dosho12 si ndugu yako Kwahiyo na wewe mchawi bimdada 😅Basi nyie wote wachawi😂😂😂
Hata mimi nimezama kiroho nimeliona tatizo hiloUnashida kubwa sana na inaweza kukuletea majanga hapo baadae, lakini inaweza kutatuliwa tuwasiliane andaa laki na hamsini ya sadaka.
Sio kwelii😂😂😂 mi nnaa vita gaNi jmnKuna wengine wanakuja mpaka pm kwaajili ya vita uliyoanzisha bila kujua 😅