Hii Hali inatokana na Nini ?!

Hii Hali inatokana na Nini ?!

Hofu ninayo kweli

Hiiiiii sasa hapo shida inabakia kuwa nini,si upande tu gari usafiri halafu uone utakavyokufa au?
IMG_20260117_235519.jpg
 
Habari
Nafupisha hii mada
Kuna huyu mtu nilipanga kumtembelea kwanzia December nitoke mkoa A mpka mkoa B
Things went as we planned...ila cha kushangaza tukiplan kuhusu hio safari nikilala tu naota ajali tu ikabidi nimwambie sikukuu ziishe Hali irudi kawaida nitamtembelea...

Tukazidi kujipanga huku tukisubiri kuvuka mwaka wa 2026 uishe .....

Tatizo linaanza tu tukiongelea tu hio safari naota ndoto za kutisha kama nimepata ajali na nimefariki ..

Hii ni ndoto tu au Kuna ujumbe ndani yake maana nimeota zaidi ya mara tatu......
Ndoto ni jinsi ulimwengu unavyotaka kuwasiliana na wewe... Mpaka hapo unayo majibu ya plani yako ambayo umeipanga
 
Habari
Nafupisha hii mada
Kuna huyu mtu nilipanga kumtembelea kwanzia December nitoke mkoa A mpka mkoa B
Things went as we planned...ila cha kushangaza tukiplan kuhusu hio safari nikilala tu naota ajali tu ikabidi nimwambie sikukuu ziishe Hali irudi kawaida nitamtembelea...

Tukazidi kujipanga huku tukisubiri kuvuka mwaka wa 2026 uishe .....

Tatizo linaanza tu tukiongelea tu hio safari naota ndoto za kutisha kama nimepata ajali na nimefariki ..

Hii ni ndoto tu au Kuna ujumbe ndani yake maana nimeota zaidi ya mara tatu......
Kama huo ni mchepuko usijidanganye kwenda hiyo safari. UTAUMBUKA this time.
 
Back
Top Bottom