Hii Hali inatokana na Nini ?!

Hii Hali inatokana na Nini ?!

Ndoto:
Kuonya.
Taarifa.
Maelekezo.
Maono.

Ikijirudia huo msisitizo usipuuze Kuna namna ulimwengu unaongea na watu ila kwa ujuaji wenu mnadharau.
 
Habari
Nafupisha hii mada
Kuna huyu mtu nilipanga kumtembelea kwanzia December nitoke mkoa A mpka mkoa B
Things went as we planned...ila cha kushangaza tukiplan kuhusu hio safari nikilala tu naota ajali tu ikabidi nimwambie sikukuu ziishe Hali irudi kawaida nitamtembelea...

Tukazidi kujipanga huku tukisubiri kuvuka mwaka wa 2026 uishe .....

Tatizo linaanza tu tukiongelea tu hio safari naota ndoto za kutisha kama nimepata ajali na nimefariki ..

Hii ni ndoto tu au Kuna ujumbe ndani yake maana nimeota zaidi ya mara tatu......
Hapa umetumia terminology 'mtu' kama kivuli cha taarifa kuficha identity yake!

Tumjue kwanza 'mtu' huyo ni best friend tu wa nia au ni mbebes?

Kama ni rafiki wa kawaida geuza mfumo wa namna ya kukutana naye, ikiwezekana umshauri yeye ndiye afunge safari kuja kwako kama ambavyo wengine wameshauri.

Kama ni mbebes na hujawahi 'kupiga', tafakari upya mahusiano hayo.
 
Ni mchumba
 
Undecided
BASI USIENDE, SIKILIZA MOYO WAKO UNAVOKUAMBIA. HUENDA ANAENDA KUKUCHUKULIA VITU VYAKO KIROHO AMA NYOTA YAKO.
MIZIMU YAKO INAKUPA TAARIFA UNAENDA KUANGAMIA. USIMWAMIN MTU YOYOTE ISIPOKUWA WEWE MWENYEWE TU
 
Back
Top Bottom