Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
lugha ngumu hii punguza makaliMWANAMKE ANAEKUOMBA PESA KABLA HATA YA KUONANA AU KUZOEANA HUYO NI MALAYA
MKUU UNATAKA KUNIAMBIA NENO MALAYA NI NENO KALI???KWELI NA ELIMU YAKO YOTE NENO MALAYA NI NENO BAYA???JE NI TUSI????AU INAELEZEA TABIA HALISI YA MHUSIKA?lugha ngumu hii punguza makali
Ina dhalilisha, ujue huwezi mwambia mtu hadharan imagine wengine watajisikiajeMKUU UNATAKA KUNIAMBIA NENO MALAYA NI NENO KALI???KWELI NA ELIMU YAKO YOTE NENO MALAYA NI NENO BAYA???JE NI TUSI????AU INAELEZEA TABIA HALISI YA MHUSIKA?
Anyway samahani sana mkuu kama umekwazika
Nao wana umuhimu wake kwa sie tusiotaka usumbufu. Siwezi nunua malaya barabarani ila nikimtokea girl ninaemjua akaweka hela mbele nakuwa na uhakika wa kula kwa pesa na kutafuta mapenzi kwingine. Yeye nitamuita tu nikiwa na hela, hamu nae.MWANAMKE ANAEKUOMBA PESA KABLA HATA YA KUONANA AU KUZOEANA HUYO NI MALAYA
Kuna vitu tunavilea katika jamii kwa kigezo cha maadili matokeo yake tunasababisha mmomonyoko mkubwa sana wa maadili.Ina dhalilisha, ujue huwezi mwambia mtu hadharan imagine wengine watajisikiaje
litamuhusu yeyote mwenye tabia ya umalayaIna dhalilisha, ujue huwezi mwambia mtu hadharan imagine wengine watajisikiaje
Hata siyo umalaya mm huitumia nyia hiii kuwaondoa wanaume wababaifu kwenye maisha yangu unakuta mwanaume kilA saaa imekula ,mara morning cjui nn ,bac mm kuondoa hizi kero namuomba hela kubwa ambayo najua hawez kunipa baaada ya hapo nakua km nimemfukuzaMWANAMKE ANAEKUOMBA PESA KABLA HATA YA KUONANA AU KUZOEANA HUYO NI MALAYA
Hata siyo umalaya mm huitumia nyia hiii kuwaondoa wanaume wababaifu kwenye maisha yangu unakuta mwanaume kilA saaa imekula ,mara morning cjui nn ,bac mm kuondoa hizi kero namuomba hela kubwa ambayo najua hawez kunipa baaada ya hapo nakua km nimemfukuzamwamba ata akiona massage yangu anackia kichefuchefu ndo anakua ameondoka hvyo ,!!!!
Ila wale tunaowapenda bwana ata vocha hatuombi !!!!kwanza unataka akuone ur strong woman huna shida ndogondogo
Siyo vibaya kwa mwanamke kuomba hela kwa mwanaume, mpe tu kama unazo.
Wapishe wanawake kwenye seat, hata akiwa na miaka 12.
Akiwa nyuma yako, fungua mlango, aingie kwanza.
Na wanawake lazima walindwe, yaani mtu akitaka kumfanyia fujo mtoto wa kike, lazima apewe kipigo.
Hayo mambo ya kuwa gangster kiduku, eti ndiyo utapendwa ni ujinga.
Wanawake ndiyo wanaibeba jamii.
Hii habari inaudhi sana au kwa wengine iko poa, mwanaume au mwanamke anakutana na mtu kwenye mitandao mnawasialiana na mnakubaliana hata kabla ya siku ya kuonana laivu haijafika mwenzio anaanza kukuomba hela haijalishi ni hela ya nini au kiasi gani lakini kwanini tusisubiri kuonana laivu na tufahamiane ndio tuombane hela, wengine wanaenda zaidi mkionana laivu muda huu tu baada ya dka 10 unasikia anakuomba hela.
Wanaume wana tabia hii sana kuwaomba wanawake wanao wazidi kipato na wanawake pia sasa je kuna haja ya kupeana muda wa kufahamiana vizuri na kuelezana malengo ya mahusiano ndio tuanze kuombana pesa au ni mbinu ya kutaka kuumizana ili hata mkiachana leo mmoja awe tayari amekuumiza.
Shida na tamaa za vitu vya watu na fikra finyu ndio sababu.MWANAMKE ANAEKUOMBA PESA KABLA HATA YA KUONANA AU KUZOEANA HUYO NI MALAYA
Full stop.Na wewe omba mzgo
We umejuaje Kama ana elim?MKUU UNATAKA KUNIAMBIA NENO MALAYA NI NENO KALI???KWELI NA ELIMU YAKO YOTE NENO MALAYA NI NENO BAYA???JE NI TUSI????AU INAELEZEA TABIA HALISI YA MHUSIKA?
Anyway samahani sana mkuu kama umekwazika