Hii Habari ni ya kweli? Malalamiko ya baadhi ya waumini wa Kiislamu kufuturishwa Pilao ya Kitimoto na kupewa mawaidha ya Kikristo

Hii Habari ni ya kweli? Malalamiko ya baadhi ya waumini wa Kiislamu kufuturishwa Pilao ya Kitimoto na kupewa mawaidha ya Kikristo

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,541
Reaction score
916
Kuna taarifa inaendelea katika mtandao wa YouTube ikilalamikia kuwepo kwa kundi la baadhi ya Wakristo waliowafuturisha baadhi ya Waislamu kwa kuwakaribisha Pilao ya Kitimoto na mahubiri ya Kikristo

View: https://youtu.be/AUGORT9jeF8?si=mEeR6SdYrf78df_-

Imechapishwa na:
1000180520.jpg
 
TUNAANDAA CHOKOCHOKO KAMA ZILEEEEE ZA MWEMBECHAI. HII NAIJUA SANA. IMEANDALIWA HII SI KWA BAHATI MBAYA.
HOJA YA UDINI INAPANDIKIZWA KWA NGUVU KUBWA KUCHOCHEA UHASAMA NA CHUKI ZA KIDINI KWA NGUVU...wakati ki uhalisia sisi huku TANGANYIKA ..HATUNA HUO UDINI...naona watakuwa wanachukia kutuona waislamu na wakristo tunashirikiana pamoja kwa umoja na upendo bila kuchinjana kama wanavyotaka...na tunashirikiana kwa shida na raha..na hata kuoana dini kati ya dini na dini..misibani na sherehe..hatuna ukabila wala udini..

wanasiasa waliofulisika hoja na sera wanatamani sana ,waingize idini ili ionekane DINI YAO ndiyo inawafanya wapingwe na wala sio maujinga yao wanayoyafanya.ila wasingizie dini yao ndiyo inafanya wasikibalike na sio kuwa ni kukosa uwezo na sifa.
 
**HOJA YA KUPANDIKIZA CHUKI ZA KIDINI ILI IONEKANE VIONGOZI WANAPINGWA KWA AJILI YA DINI ZAO HAITAFANIKIWA. gen z sio wajinga wame elimika elimu bure za shule kila kata..na utandawazi unakuwa..ujinga umeisha..UONGO HUJITENGA NA UKWELI ...yani hivi kweli leo uwaambie wananchi kuwa viongozi wanapingwa si kwasababu ya kukosa uwezo na sifa eti uwadanganye wanapingwa kwa sababu ya DINI ZAO..kweli??
 
HOJA YA UDINI INAPANDIKIZWA KWA NGUVU KUBWA KUCHOCHEA UHASAMA NA CHUKI ZA KIDINI KWA NGUVU...wakati ki uhalisia sisi huku TANGANYIKA ..HATUNA HUO UDINI...naona watakuwa wanachukia kutuona waislamu na wakristo tunashirikiana pamoja kwa umoja na upendo bila kuchinjana kama wanavyotaka...na tunashirikiana kwa shida na raha..na hata kuoana dini kati ya dini na dini..misibani na sherehe..hatuna ukabila wala udini..

wanasiasa waliofulisika hoja na sera wanatamani sana ,waingize idini ili ionekane DINI YAO ndiyo inawafanya wapingwe na wala sio maujinga yao wanayoyafanya.ila wasingizie dini yao ndiyo inafanya wasikibalike na sio kuwa ni kukosa uwezo na sifa.

Ndo mpango huo wa chokochoko na kuleta fujo.
 
Wanawake wa kiswahili ni Aibu sana! Walidanganywa anakuja Samia wakajaa kwenye mfumo

Wakaambulia kilo 1 ya unga tangu saa 12 asubuhi, Wengi Baada ya kuupika n.a. Kula wanaharisha mpaka leo

CCM ijue namna ilivyoleta dhiki, maelfu ya wamama wanakalishwa masaa 12 kusubiri kilo ya unga Wengi wakitokea mbagara , Buza n.a. Keko
 
Back
Top Bottom