Hii Habari ni ya kweli? Malalamiko ya baadhi ya waumini wa Kiislamu kufuturishwa Pilao ya Kitimoto na kupewa mawaidha ya Kikristo

Hii Habari ni ya kweli? Malalamiko ya baadhi ya waumini wa Kiislamu kufuturishwa Pilao ya Kitimoto na kupewa mawaidha ya Kikristo

Kwani aliewafturisha alikua mkristo?na huyo mkristo alitaka apate sifa za kijinga kwamba ana roho nzuri wakati Kuna wahitaji kibao mtaani wanashida kwanini asiwasaidie hao badala ya kutafta sifa za kijinga ona Sasa amechafuka haswa.
 
Wao kwa nini walimvalisha Magufuli kanzu tena ovasaizi na kibaraghashia na hakulalamika. Kikubwa ni ushirikiano kesho tunataka ubwabwa vibaraghashia na kanzu tunazo na hatuna ubaguzi wa misosi madamu wenyeji wetu mle pia.
 
Hao wasitutanie walijuaje km ni kitimoto?Na lazima waliiba kwenda nayo home harafu wanakuja kubwabwaja
 
Back
Top Bottom