Hii enzi yake ilitikisa mbaya

Mkuu bado tunasubiria mrejesho wa yale mambo yako na mke wako yule aliekuambia kuwa atato*bwa hadi kiherehere chako kiishe!! Harakisha huo mrejesho please!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji14] [emoji12] [emoji134] [emoji87] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Nokia N- Series zilitingisha sana!! Mambo ya infared tena...

Hata Nokia 6230 ilibamba sana! Hivi motorola L6 aka motorola chapati nazo zilifia wapi?
Nilikuwa na L6 ya silver nikaja kununua L7 ya black. Kipindi hiko UDSM ndo zilikuwa simu ziko ktk chati. HELLO MOTTO
 
Mambo yote apple currently.
 
haikuwa mbali sana, tatizo tech inakuwa kwa haraka sana na kila siku kuna kitu kipya!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…