Hii enzi yake ilitikisa mbaya

Dah imenikumbusha mbali sana,bosi wangu alianza kunichukia baada ya kupondewa na mfanya biashara maarufu ambaye tulikuwa tunafanya naye biashara kuwa kwanini anatumia simu za bei mpaka anazidiwa na mimi kapuku pale ofisini wakati huo mimi ndio nilikuwa na hii simu.
 
Raha ya nokia ulikuwa uki hold "0" inafunguka ktk browser na ku launch homepage. Je unataka kujua homepage yangu ilikuwa mtandao gani?
lazima ulitumia mig33 vya kutosha, enzi hizo hakuna cha whats app ya leo iliyoshika hatamu hata kwa watoto wa primary.
 

Umenena Mkuu, "Nokia is beast"!!!
Japo najua hukumaanisha.
 
Nakumbuka celtel (making life better), 2004 hapo mshua kala kiinua mgongo tunatia heshima kwa mtaa. Hawakuwa na vocha za buku kama voda na Buzz, ilikuwa zinaanzia buku 2 kwenda juu.
 

umenikumbusha enzi hizi mzee mwenzangu kipindi hiki facebook wala jamiiforums haikuwepo kipindi hichi...dah
 
Enzi zile duuh! Sipompapompa eee!!..jamani hiki kibao ntakipata wapi...!?
 
Actually Ni 6600 Baba Yang Alikuwa Nayo When I Was Eleven Au Kitu Kama Hicho Ndio Ilikuwa Mara Ya Kwanza Kuona Camera Kwenye Simu And I Thought It Was Gimmicky,,,why A Camera On A Phone,,,lakini Leo Mie Nimo Top 100 Ya Wapiga Selfie Dunian
Hahahaha sawa mkuu ,
 
Nokia alitesa sana hata kama kafa, kafa na heshima yake
Kama the great of all time Muhamad Ali. Ila nokia infact hajafa. Anarudi ktk game kama ilivyo TTCL sasa hivi. Grab popcorns and have a chill. Huu mchezo hauhitaji hasira.
lazima ulitumia mig33 vya kutosha, enzi hizo hakuna cha whats app ya leo iliyoshika hatamu hata kwa watoto wa primary.
We acha tu mkuu. Tukaja eskimi tukasepa. Yaani tulizurura sana. Kipindi hicho sina idea na google kabisa. Shida zote namalizia waptrick... Dah. Kwa kipindi kile ukipata speed ya 250kbps. Unajiona kama una 4G. Goddamn old is gold.
Umenena Mkuu, "Nokia is beast"!!!
Japo najua hukumaanisha.
Yeah beast of all time. Nokia hata akiacha biashara ya kutengeneza simu. Miundombinu aliyoaacha on the planet earth. Na kina wenzie alcatel, Ericsson,. Bado nokia anaweza kudumu miaka 200 ijayo. Upo hapo? Nokia ametoka mbali. Ana zaidi ya miaka 100 ktk game. So sio kwamba amekufa. Amezimia tu. Na mwaka huu. Tegemea makubwa. Umeona ile virtual camera yao? The new project inaitwa NOKIA OZO. so nokia ni mogul ktk industry.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hatarudi na heshima kama ya zamani, Nokia akiwa kwenye koti la android si kama yule wa enzi za Symbian, Maemo n.k, utafute simu yake yoyote ile, nyingi zinacheza 250MB of RAM na around 800MHz processor lakini inarun smoothly kama simu ya android yenye 2GB of RAM na 1.5GHz processor, hata application software zake zilikuwa hazichukui nafasi kubwa kwenye simu ukifanya comparison na android na iOS
 
Sure. Mkuu .... Symbian, maemo, meego. Ni the best. Siko deep sana. Ktk maswala ya utengenezaji application ila opera ya nokia yangu ina578kb wakati android ina 7Mb. Na ma cache na ma data inafika hadi 20mb. Dah ila hopefully kuna improvement ndo mana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…