Hii enzi haitorudi

Hii enzi haitorudi

Mr.Daud and his family.da!!!!! kitabu hiki unamkumbuka mkuu wangu wa shule ndugu Mbaya babake na Charles Mgaya huko Nyabula shule ya msingi1996.MUNGU MWEMA AISEE
 
Mr.Daud and his family.da!!!!! kitabu hiki kinanikumbusha mkuu wangu wa shule ndugu Mgaya babake na Charles Mgaya huko Nyabula shule ya msingi1996.MUNGU MWEMA AISEE
 
Dah! Kweli hazito jirudia kwakweli
 
enzi ya vitabu hivi inanikumbusha mbali sana, maana vilikuwa vinaleta hamu ya kusoma hakuna mfano, nakumbuka hadithi chache kama, kibanga ampiga mkoloni, barua ya mjomba mdolwa, sikili mimi maskini, kula mno ni hasara, sizitaki mbichi hizi, na cha wageni
 
Huu uzi nilikuwa naupita tu bila kuufungua nikidhani udaku wa siasa za Tanzania. But nimekuta ni kitu tofauti kabisa ambacho kimenikumbusha mbali saanaa, vitu kama
-Mfalme ana masikio kama ya punda
-Story ya Mzee tola
-Mwamba mwenye nguvu
-Twende tukawinde
-Sizitaki mbichi hizi
-Moyo na ndevu
-Jogoo aliyesema
-Ndoto ya kimweri
-Kambi ya kaboya
-Shairi Maarufu "Kama mkitaka mali"
-Barua kutoka kwa mjomba mdolwa
-Lindu amwokoa kapilima
-Brown ashika tama.
Na nyingine nyingiiii achilia mbali somo la English ambalo vitabu vyake vilikuwa kama movie series yaani unaanza na Mr&Mrs Daudi, Musa,Neema and Baraka na madarsa mengine characters ni hao hao tu. Dah imenikumbusha mbali sana, kipindi hicho tunasoma sayansi kimu,sayansi kilimo ,siasa na baadae uraia. Big up mleta uzi, kweli enzi hizo hazitajirudia tenaa
 
Kalume kenge akataa kwenda shule
Hadithi za Alan quarterman na mashimo ya mfalme suleyman
Bulicheka
Hadithi za hesopo (Aesop's fables)
Boramimi
Majitu matatu
Kisiwa chenye hazina

Mmenikumbusha mbali saana
That time primary school nilisoma zaidi ya 200 books

Greatest people and brave men...watunzi walijua hasa kuwajenga wahusika mpaka mtu unapata picha kamili
 
Nakumbuka tukiwa std 5 themi tuliletewa vitabu kama sky jack over africa,Olu and the smuggle,Alibaba and 40 thieves,na vingine nimevisahau,nilivipenda mno,vilinipa hamu ya kupenda shule,vilinishawishi kujifunza kiingereza kwa bidii,kwenye sky jack palikuwa na picha moja naikumbuka,yule mtekaji(hijacker) akimshurutisha pilot ashushe ndege,pilot anamwambia"i cant do that"

Hapa ndio ilikuwa enzi ya kuingia kwenye uandishi wa technology... Hadithi na hekaya nyingi zikawa ni kuhusu mamashine mitambo na silaha za moto
 
Huu uzi nilikuwa naupita tu bila kuufungua nikidhani udaku wa siasa za Tanzania. But nimekuta ni kitu tofauti kabisa ambacho kimenikumbusha mbali saanaa, vitu kama
-Mfalme ana masikio kama ya punda
-Story ya Mzee tola
-Mwamba mwenye nguvu
-Twende tukawinde
-Sizitaki mbichi hizi
-Moyo na ndevu
-Jogoo aliyesema
-Ndoto ya kimweri
-Kambi ya kaboya
-Shairi Maarufu "Kama mkitaka mali"
-Barua kutoka kwa mjomba mdolwa
-Lindu amwokoa kapilima
-Brown ashika tama.
Na nyingine nyingiiii achilia mbali somo la English ambalo vitabu vyake vilikuwa kama movie series yaani unaanza na Mr&Mrs Daudi, Musa,Neema and Baraka na madarsa mengine characters ni hao hao tu. Dah imenikumbusha mbali sana, kipindi hicho tunasoma sayansi kimu,sayansi kilimo ,siasa na baadae uraia. Big up mleta uzi, kweli enzi hizo hazitajirudia tenaa

Twaweza kuvipata wapi Vitabu hivi na watoto wetu waweze faidi uhondo uliokuwa humo!?
 
Mkuu watoto wenyewe watavisoma basi, wasiangalie Chan. 5 (eatv) na TBC 2 au magazeti ya udaku waje wahangaike na Hekaya za Abunuwas au Alibaba na wezi 40 wapi na wapi? Mkuu hiyo imepita haitorudi
 
Wangu TV wanakutana nayo jumamosi na jumapili na wanapenda kusoma Vitabu na magazeti kama wafahamu vyapatikana wapi nijulishe!
Labda nikufahamishe tabia hizi za kujisomea hujengwa na wazazi kama wazazi mnatumia muda mwingi kwenye TV nao watatumia mkiwajengea mazingira ya kujisomea Vitabu hakika wajisomea!
 
Namshukuru Mungu kwakua napenda sana kujisomea vitabu tokea nikiwa mdogo hadi hii leo hua namuomba mdogo wangu vitabu vyake kila mwaka nijisomee hadithi.
Nilijua kusoma nikiwa mdogo sana, hadi leo nazikumbuka hadithi nilizozipenda sana...
1.Pete ya mtemi Ndamanga
2.Hawafu mwenye nguvu
3.Za mwizi arobaini
4.Machungwa ya bibi (sina uhakika na hili ila naikumbuka story yote) n.k
Bila shaka kitabu hiki kilikua cha darasa la 6 na ilikua mwaka 1999 na mimi nilikua chekechea!
 
Kuna wachache wanavyo Mara ya mwisho niliviona baadhi kwà kaka zangu
 
Namshukuru Mungu kwakua napenda sana kujisomea vitabu tokea nikiwa mdogo hadi hii leo hua namuomba mdogo wangu vitabu vyake kila mwaka nijisomee hadithi.
Nilijua kusoma nikiwa mdogo sana, hadi leo nazikumbuka hadithi nilizozipenda sana...
1.Pete ya mtemi Ndamanga
2.Hawafu mwenye nguvu
3.Za mwizi arobaini
4.Machungwa ya bibi (sina uhakika na hili ila naikumbuka story yote) n.k
Bila shaka kitabu hiki kilikua cha darasa la 6 na ilikua mwaka 1999 na mimi nilikua chekechea!

Mhhh...wewe ulisoma akademia bana
 
Juma na Roza. Kitabu cha Kwanza.
Manenge na Mandawa. Kitabu cha pili. Tukienda darasa la nne, kisa cha Mperembi, Pazi na Jogoo, Sadiki na Sikiri, Siku ya Gulio Katerero....
 
Namshukuru Mungu kwakua napenda sana kujisomea vitabu tokea nikiwa mdogo hadi hii leo hua namuomba mdogo wangu vitabu vyake kila mwaka nijisomee hadithi.
Nilijua kusoma nikiwa mdogo sana, hadi leo nazikumbuka hadithi nilizozipenda sana...
1.Pete ya mtemi Ndamanga
2.Hawafu mwenye nguvu
3.Za mwizi arobaini
4.Machungwa ya bibi (sina uhakika na hili ila naikumbuka story yote) n.k
Bila shaka kitabu hiki kilikua cha darasa la 6 na ilikua mwaka 1999 na mimi nilikua chekechea!

Duu nifah kumbe kigoli kabisa kama Mkoroshokigoli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom