GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,242
Hiki kizazi cha tom and jerry hawawezi kujua mwanasesere ni nini. Sasa wakisikia gulioni Katerero ndo watauliza tena gulioni ndo nini, watoto hawamjui hata abunuas na hekaya zake, ooopss na hapa watauliza hekaya ndo nini tena. ( tom and jery..... sina uhakika na spelling).