Hii dhana ndiyo inayotufanya sisi watu weusi tuendelee kuwa dhaifu

Haya Mwita gachuma,
Olusegun Obasanjo
Shehu shaghali,
Jidu la mabambasi,
shemuhilu
Byarugaba nshomile baba mbaka no clasa ahead
sasa usipojua hapa huyu nahuyu ni nani wewe nikilaza kwisha kazi
Kilaza baba yako.
 
Mara utackia oh babu ze2 walifungwa minyororo na waarabu 😂 akili za kipumbafu kabisa. Ulikuwepo wakati wakifungwa na kuteswa???? Hamuna kazi za kufanya kila day kulalamika na kushutumu watu wacohusika. Narudia again, ni akili za kipumbafu haswaa kufikiria ayo.

Mwingine anauliza "Is it possible kujichubua mzungu akawa mweusi? 😁 aisee!!!
 
Tunakazana sana kusema TULIKUWA. hatuhangaiki na Kusema TUKOJE sasa na TUTAKUWAJE.

ukiona watu wanavyohangaika kusema waisrael walikuwa weusi. Unajiuliza so what?or then what happened?

Ukisoma watu wanavyohangaika kusema wa misri walikuwa weusi then unajiuliza so what ?or what happened?

Tunabaki kudandia dandia watu maarufu,makabila maarufu n.k ila ukitizama kwa sasa huoni tunachofanya ku prove hayo kivitendo.akili zilizotumika kujenga pyramids zilipotelea wapi?

Waarabu wangapi na wazungu walikuja kukututawala sisi wengi huku kwetu?na tukashiriki kuuzana,kupigana?hatukuwa na akili.ndo maana utaona mwarabu mmoja au watatu wanaswaga kundi kubwa la watumwa weusi kwenda kuwauza.

Sisi toka zamani ni kama ng'ombe tu ashakum si matusi. Unaweza ona ng'ombe 100 wanaswagwa na mtu mmoja mwenye fimbo.

Akili tulizokuwa nazo awali zimeenda wapi? Asilimia 95 ya vitu tunavyotumia asili yake mzungu au mu asia.sasa sisi tunachoweza ni nini?kila siku tunakuja hapa na nyuzi.yesu alikuwa mweusi, waisrael ni weusi, wamisri ni weusi...so what?

Miaka 50 baada ya kutawaliwa bado nchi zetu ni maskini lakini bado tunalaumu wazungu.ile kututawala tu inaonesha walituzidi akili kwa hiyo sisi hatuna akili.haya baada ya uhuru bado tunapo fail tunasingizia wazungu.

Sisi waafrika tunaringia nini hasa dunia hii?tuseme tu ukweli.tupo tupo tu na ujinga umetujaa. Ndo maana kila kitu kizuri kinahusishwa na weupe.na nadra sana kukuta hata weupe wanahangaika ili wawe weusi.

Au kuwasikia wakidai nyerere au mandela alikuwa mweupe.sisi ni watu wa madai tu.madai tu. Hatusongi mbele.wakati tunahangaika ku prove yesu au waisrael walikuwa weusi wazungu wao wanatengeneza ndege na ku improve technolojia.sisi tunapambana kuthibitisha kuwa yale mapyramids yalikuwa na pua nene zikakatwa.

Tafiti tunazofanya tunatumia vifaa vya mzungu/mtu mweupe.kila kitu bado tunachotaka kuthibitisha weusi wetu tunatumia cha mzungu.

Nadhani hii dhana ya yule alikuwa mweusi na wale walikuwa weusi ni aina ya uchawi wameturogezea tena wazungu.ili sisi tupambane katika hayo huku wao wakisonga mbele.

Tukija kushtuka miaka imepita.haya yesu alikuwa mweusi, waisrael wa asili ni weusi.misri waarabu walikuwa weusi. Mafarao walikuwa weusi.

So what? Mnasema mnaweka sawa historia.then? Badala ya kupambana tujikwamue na kudhihirisha black superiority tunajikuta tunapambana ku claim vitu ambavyo wont help us.
Hivi ni kweli hata kina Trump walikuwa kama sisi wakalogwa wakawa vile?
 
Change your mindset, bado umekaririshwa mitazamo ila hujawah kufikiria
 
Acha watu wachunguze asili zao.
Ni sawa na kumuambia mtu wa Bhaharat aache kufuatilia historia ya Chandragupta,Ashoka na wakina Porus aache kufuatilia ancient tribes kama Pauravaras na Aryan clan.
Unamuambia mngoni aache kufuatilia jinsi babu zake walivyotoka south Africa wakiongozwa na wakina Zwangendamba na Mputa maseko mpaka huku east Africa?
Kama kweli wamisri,sijui waisrael walikuwa ni weusi acha watu wachunguze na kuthibitisia, kwani kuna kosa?
Leo watu wa ugiriki na macedonia wanawatambia Wabhaharat kwamba Alexander the great alimshinda Porus wakati ni dhaili Alexander alipigwa na kurudi kwao.Sasa kwanini wagiriki wanaonekana wakweli? ni kwasabu wao walichunguza historia ya kale kuhusu vita ile na kuuambia ulimwengu kwamba Alexander alishinda, muda huo Wabhaharat wamelala(sasa hivi wameamka)
Wazungu wanakwambia kabla ya wao kuja Afrika haikuwa na maendeleo yoyote ndio maana waafrika wanaleta ushahidi kama huo wa ancient Egypt kumprove wrong mzungu.
Remember history is prestige.
Kesi nyingine?
Ukishathibitisha unapata faida gani?
 
HUNA AKILI....hizi mada hatutoacha kuzitoa mpka pale mtakapojirekebisha, najua wengi hamjui kwann matatuzo hayakwish afrika, na hamuwez elewa mpka mrudi nyuma ya historia yenu tena nje ya elimu za kikolon mlizokalilishwa na kujiona sasa mpo sawa na hao watu weupe mnaowaabudu.

Shame on you, tatzo linaanzia pale mlipoanza kuwaabudu hao watu, mmewakumbatia na kuwaona miungu watu, hatukatai kuna muingiliano wa maendeleo kat ya afrika na nchi zilzoendelea, unapomsema muafrika anatumia technology ya mzungu, jiulze mzungu anapata wap materials zakubuni hizo tools? jiulize nyuma ya pazia(chanzo cha izo technologies wahasisi wake ni kina nani?) acheni kujiona mna usawa kati ya races na kuzani hao watu wanawapenda sana, utajiri wa nchi zao umetokana na afrika by80% ukubali ama ukatae, ushenzi aliofanyiwa muafrika hautosahaulika hata miaka ipiye vip, najua watu kama mtoa post hawapend ukwel na itakuwa wew ni jamii ya watu weupe ama una dalili za kiwasujudu hao watu ili ulazimishe undugu baina ya bkack and white.

Hizo mada mm pia ni mmoja wapo wa wanaozitoa na sitoacha kutoa maana zinawatoa gizan wapumbv kama mtoa post, watu kama wew mnakuwa na vifungo vingi akilin mwenu ambavyo vnawafanya mujione safe& much know , kumbe ni useless kabisa...vitu kama dini, elimu,siasa, vimeshawapoteza vimewafanya watumwa na kudharau mkipotoka.....SHAME ON YOU
 
Halafu wewe sijui unamtindio wa ubongo nimesema wewe!! ndiyo kilaza!! huelewi tu? siyo baba angu, umelewa?
Mimi nimesema tu kuwa Baba yako ni kilaza, sasa kwani tatizo liko wapi? hautaki baba yako kuwa kilaza ama vp?
 
Yaani kijana unadhihirisha ulivo kilaza zaidi, utamsemaje mtu ambae ni hewa?? ulimjuaje kwanza ! sasa wewe twakujua kilaza kupitia jf!! angalia sasa unavo sisitiza usilolijua!!! hivi? ulipata dvsn gani kwanza!
 
Ukishathibitisha unapata faida gani?
Najua kuumbe nina thamani yangu ya kitambooo!! kuliko wao hao walio nifunga minyororo!! kwa sababu hata huko walikOTUMIKISHWA Babu zangu ndo pana Maendeleo!

2. nina connection na Mungu sababu Babu zangu kina Musa walipo muudhi Mungu tu, aliwapa pigo jangwani!
3. kujua mimi ni wa pekee Duniani, mteule wa Mungu, ndo maana Duniani wana nichukia!
4. Najua nafasi yangu mbinguni mie nitatwaliwa tu!
5. kuwa karibu na aliye niumba awe rafikiwa karibu amini usiamini naishi vizuri mno!! hata mzungu akinitemea mate sijali najua tu kwa sababu mie mzuri wa pekee!. rafiki na mwana wa Mungu wa pekee anae pendwa Duniani kote! sasa km ninapendwa lazima wajinga wanichukie
6, kuwa na confidence Duniani kooote!! hao unaoona wanalia kubaguliwa ni kwa sababu hawajui wao ni kina nani!
7.Sina dhambi, nitatwaliwa juu kwa juu! yaani moto wa Jehanamu Muyahudi original haumu husu! na Mungu akisema amesema!
8.wali/wananichukua sababu mie ni bora tangu kuumbwa kwa Dunia hii!
9. Kifupi nalinga sababu mie ni mteule wa aliye juu! alinichagua, niwe wake, nimjue, Rafiki/ mzazi,muumba sawa na babako/mamako akikuchapa kamwe huta nuna, ndo kwanza unasahau, na kumpenda zaidi anavokuonya!

wayahudi wa leo tunachapwa viboko! na Baba yetu!! ambae wewe hakuhusu wala hakutambui, hakutaki, yaani wewe utakuwa kuni tu kulee jehanum! lkn sisi ndo kwaanza tutakuwa tunakunywa chai ya maziwa!
10. Bichwa langu linavimba karibia kupasuka! yaani naringa Dunia nzima, hiyo tu inatosha kunipa afya! furaha, amani, ubingwa!

ntarudi make inaonyesha wewe hutujui sisi ni kina nani!!!!!
 
Toka umekariri hilo neno la change your mindset hujui hata pa kulitumia. Popote pale unali paste...🤣
Bora ungepita tu!! hapa inadhihirisha weee ni mpumbavu hasa km hukusoma vile, hapo hilo neno limetumika sawasawa hata km amekariri yuko vizuri, kuliko weye!
 
Yaani kijana unadhihirisha ulivo kilaza zaidi, utamsemaje mtu ambae ni hewa?? ulimjuaje kwanza ! sasa wewe twakujua kilaza kupitia jf!! angalia sasa unavo sisitiza usilolijua!!! hivi? ulipata dvsn gani kwanza!
Mimi hunijui ni sawa tu huyo baba yako nisiyemjua, ila najua kwamba lazima uwe na baba sasa utasemaje ni hewa? Huyo baba yako aliyekuzaa wewe ndio kilaza, sihitaji kumjua kama ambavyo wewe hujui kama jii ID inatumika na nani au akina nani ila unanita kilaza.
 
Tunakazana sana kusema TULIKUWA. hatuhangaiki na Kusema TUKOJE sasa na TUTAKUWAJE.

ukiona watu wanavyohangaika kusema waisrael walikuwa weusi. Unajiuliza so what?or then what happened?

Ukisoma watu wanavyohangaika kusema wa misri walikuwa weusi then unajiuliza so what ?or what happened?

Tunabaki kudandia dandia watu maarufu,makabila maarufu n.k ila ukitizama kwa sasa huoni tunachofanya ku prove hayo kivitendo.akili zilizotumika kujenga pyramids zilipotelea wapi?

Waarabu wangapi na wazungu walikuja kukututawala sisi wengi huku kwetu?na tukashiriki kuuzana,kupigana?hatukuwa na akili.ndo maana utaona mwarabu mmoja au watatu wanaswaga kundi kubwa la watumwa weusi kwenda kuwauza.

Sisi toka zamani ni kama ng'ombe tu ashakum si matusi. Unaweza ona ng'ombe 100 wanaswagwa na mtu mmoja mwenye fimbo.

Akili tulizokuwa nazo awali zimeenda wapi? Asilimia 95 ya vitu tunavyotumia asili yake mzungu au mu asia.sasa sisi tunachoweza ni nini?kila siku tunakuja hapa na nyuzi.yesu alikuwa mweusi, waisrael ni weusi, wamisri ni weusi...so what?

Miaka 50 baada ya kutawaliwa bado nchi zetu ni maskini lakini bado tunalaumu wazungu.ile kututawala tu inaonesha walituzidi akili kwa hiyo sisi hatuna akili.haya baada ya uhuru bado tunapo fail tunasingizia wazungu.

Sisi waafrika tunaringia nini hasa dunia hii?tuseme tu ukweli.tupo tupo tu na ujinga umetujaa. Ndo maana kila kitu kizuri kinahusishwa na weupe.na nadra sana kukuta hata weupe wanahangaika ili wawe weusi.

Au kuwasikia wakidai nyerere au mandela alikuwa mweupe.sisi ni watu wa madai tu.madai tu. Hatusongi mbele.wakati tunahangaika ku prove yesu au waisrael walikuwa weusi wazungu wao wanatengeneza ndege na ku improve technolojia.sisi tunapambana kuthibitisha kuwa yale mapyramids yalikuwa na pua nene zikakatwa.

Tafiti tunazofanya tunatumia vifaa vya mzungu/mtu mweupe.kila kitu bado tunachotaka kuthibitisha weusi wetu tunatumia cha mzungu.

Nadhani hii dhana ya yule alikuwa mweusi na wale walikuwa weusi ni aina ya uchawi wameturogezea tena wazungu.ili sisi tupambane katika hayo huku wao wakisonga mbele.

Tukija kushtuka miaka imepita.haya yesu alikuwa mweusi, waisrael wa asili ni weusi.misri waarabu walikuwa weusi. Mafarao walikuwa weusi.

So what? Mnasema mnaweka sawa historia.then? Badala ya kupambana tujikwamue na kudhihirisha black superiority tunajikuta tunapambana ku claim vitu ambavyo wont help us.
Mkuu wew hapa duniani umefanya nini cha maana? Au hili bandiko lako?
 
Achana nae huyo shule za kata hizo! tuna kazi sana za kuishi nao!! Hajui kwa nini Historia ziliandikwa!! Wazungu wanamchunguza aliko tokea yeye anajikesha katani! anasema ni thawa tyuuuu! sasa kwa nini mtu km huyu asimuite Nyani?

Halijui chochote zaidi ya kula ndizi, na mapera! Mungu kuweka kumukumbu ya kuumba Dunia na vyote vilivyomo anaona alikuwa anapoteza Muda?? wakati sisi baadhi ya Binadamu tumeumbwa kwa mfano wake??

Nachelea kusema huyo jamaa hapo juu ameumbwa na Nefilim, hii historia ya wayahudi weusi haimu husu! inamuuma ajili yeye hajui nefilimu walipo mtoa>>>>>>.
Akili ya Mwafrika..hata kujenga hoja haiwezi. Huishia kutukana au kukashifu tu. Ni nadra sana kwa kizazi hiki kukuta mtu anabishana kwa hoja asilimia 95 atatukana
 
HUNA AKILI....hizi mada hatutoacha kuzitoa mpka pale mtakapojirekebisha, najua wengi hamjui kwann matatuzo hayakwish afrika, na hamuwez elewa mpka mrudi nyuma ya historia yenu tena nje ya elimu za kikolon mlizokalilishwa na kujiona sasa mpo sawa na hao watu weupe mnaowaabudu.

Shame on you, tatzo linaanzia pale mlipoanza kuwaabudu hao watu, mmewakumbatia na kuwaona miungu watu, hatukatai kuna muingiliano wa maendeleo kat ya afrika na nchi zilzoendelea, unapomsema muafrika anatumia technology ya mzungu, jiulze mzungu anapata wap materials zakubuni hizo tools? jiulize nyuma ya pazia(chanzo cha izo technologies wahasisi wake ni kina nani?) acheni kujiona mna usawa kati ya races na kuzani hao watu wanawapenda sana, utajiri wa nchi zao umetokana na afrika by80% ukubali ama ukatae, ushenzi aliofanyiwa muafrika hautosahaulika hata miaka ipiye vip, najua watu kama mtoa post hawapend ukwel na itakuwa wew ni jamii ya watu weupe ama una dalili za kiwasujudu hao watu ili ulazimishe undugu baina ya bkack and white.

Hizo mada mm pia ni mmoja wapo wa wanaozitoa na sitoacha kutoa maana zinawatoa gizan wapumbv kama mtoa post, watu kama wew mnakuwa na vifungo vingi akilin mwenu ambavyo vnawafanya mujione safe& much know , kumbe ni useless kabisa...vitu kama dini, elimu,siasa, vimeshawapoteza vimewafanya watumwa na kudharau mkipotoka.....SHAME ON YOU
Akili ya Mwafrika..hata kujenga hoja haiwezi. Huishia kutukana au kukashifu tu. Ni nadra sana kwa kizazi hiki kukuta mtu anabishana kwa hoja asilimia 95 atatukana .na bado atadhihirisha ukoloni kwa kutumia tu maneno twa kiingereza.....yaani tunarudi kule kule nilikosema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom