Hii Beat ya Roy kwenye wimbo wa Matonya ni hatari

Lile la "uaminifu " maana ndio limemtoa matonya.

Anyway hawa jamaa ngoma za zamani zilikuwa ni moto sana hizo beat ni noma kabisa.
 
MATONYA___SIAMINI.

Aiseee hii beat ya ROYπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»

Aisee, Rest easy Roy huu mdundo...πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
Kasikilize ICE CREAM ya Noorah a.k.a Baba styles!!

Sikiliza pia Baridi kama hii ya mdogo wake Enika!!

Kasikilize Kiss kiss ya Mr Blue,ongezea na Roho zinawauma!!
 
RIP Roy! Alikuwa na beats za kipekee zilizowatoa wasanii kadhaa

Matonya-Siamini, Vaileti, Dunia Mapito...
Mr Blue-Niite Mr Blue, Mapozi...
AB Skills-Nakupenda....
Noorah-Ice Cream
Enika-Baridi kama hii
 
Back
Top Bottom