Hii baridi hii, sio ya kuachana kabisa

Hii baridi hii, sio ya kuachana kabisa

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,023
Reaction score
61,924
Kutokana na hizi mvua na baridi za hapa na pale, sio muda sahihi wakuachana wakuu.

Hapa nilipo natafuta mrembo machachari mwenye shepu yake, kiuno cha nyugwi, mwenye rangi ya chungwa; aje anisaidie kula hii nyama choma na balimi mbili hapa kwa mangi.​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom