Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,096
- 62,038
- Thread starter
- #41
kumbe wewe ni taipu yangu kabisa, nikutumie la rangi gani?Large 🥰
kumbe wewe ni taipu yangu kabisa, nikutumie la rangi gani?Large 🥰
we mtumie sasampa bwana hiyo gauni atatafuta mwenyewe hukokumbe wewe ni taipu yangu kabisa, nikutumie la rangi gani?
Khaa kumbe tena?? Colour black🖤kumbe wewe ni taipu yangu kabisa, nikutumie la rangi gani?
Amelewa utamchanganya😁we mtumie sasampa bwana hiyo gauni atatafuta mwenyewe huko
Fanya kumcheki Seran amshtue Binti wa zamani wakutaftie mremboKutokana na hizi mvua na baridi za hapa na pale, sio muda sahihi wakuachana wakuu.
Hapa nilipo natafuta mrembo machachari mwenye shepu yake, kiuno cha nyugwi, mwenye rangi ya chungwa; aje anisaidie kula hii nyama choma na balimi mbili hapa kwa mangi.
sasampa ataweza kumuhudumia serengeti wakewe mtumie sasampa bwana hiyo gauni atatafuta mwenyewe huko

Anatutaka wote huyu muache tu ale balimi zake kwa amani!Fanya kumcheki Seran amshtue Binti wa zamani wakutaftie mrembo
Serengeti anatoka wapi tena ba mkali 🙄sasampa ataweza kumuhudumia serengeti wake![]()
utapendeza sana, utatengeneza umbo la sKhaa kumbe tena?? Colour black🖤
Waa.. basi anajiweza🤓🤓Anatutaka wote huyu muache tu ale balimi zake kwa amani!
Binti wa zamani na wkend hii, atakuwa amefungiwa mahali.Fanya kumcheki Seran amshtue Binti wa zamani wakutaftie mrembo
Mnatuzarau sisi wazee, mnasema hatuna nguvuSerengeti anatoka wapi tena ba mkali 🙄
Oh maybe yupo church mkesha wa maombi.. huwezi jua😄Binti wa zamani na wkend hii, atakuwa amefungiwa mahali.
Ngoja tuje wote atubless kreti kila mmoja 🤗Waa.. basi anajiweza🤓🤓
Tangu lini baridi ikaondolewa kwa maombiOh maybe yupo church mkesha wa maombi.. huwezi jua😄
Kusaidizana sio jambo baya..Mnatuzarau sisi wazee, mnasema hatuna nguvu
Dawa ya moto ni moto!Tangu lini baridi ikaondolewa kwa maombi
Inabidi uje haraka tupeane moto, hakuna namnaDawa ya moto ni moto!

Mungu hapendiKusaidizana sio jambo baya..
hapa ndo tuishi nae vizuri maana walevi huwa wanamisifa ili akishtuka akute ashakutumia pesa yote🤣🤣🤣Amelewa utamchanganya😁