Hii baridi hii, sio ya kuachana kabisa

Hii baridi hii, sio ya kuachana kabisa

hapa ndo tuishi nae vizuri maana walevi huwa wanamisifa ili akishtuka akute ashakutumia pesa yote🤣🤣🤣
Yaani ata macho hayaoni vizuri vile, sijui nitakuwa nimelewa!, itabidi wote mnisindikize ndani nikalale :BertinhoPls:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom