Au njoo naye, mazingira ni rafiki.Legeza mrembo.. unakazaaa😅
Unasoma vitabu ili uvumbue namna ya kufukuza baridi?Hali ya hewa yenye utulivu namna hii napata mzuka wa kusoma vitabu.
hebu nitokee huko🤣 usije ukanipeperushia ndege wanguLegeza mrembo.. unakazaaa😅
au sio,,,Anaaminika sana hapa jukwaani, hawezi kunipeleka chaka, wakati ukinisubiri hapo kwa mangi mwambie weita akuhudumie nakuja kulipa
Tatizo moyo unakataaWasha moto uote mkuu,itakusaidia kupunguza baridi
Moyo umelegea kabisa, hautaki tena kusukuma damuau sio,,,
On our way 💃🏽Au njoo naye, mazingira ni rafiki.
Ndege wako kwiooo😁👌🏽hebu nitokee huko🤣 usije ukanipeperushia ndege wangu
Nipo hapa nimejikunyata na baridi nawasubiri
Kwa ushirikiano huu, nakupa zawadi ya nguo ya sikukuuuOn our way 💃🏽
Aiseee🥲Kwa ushirikiano huu, nakupa zawadi ya nguo ya sikukuuu
Unavaa gauni namba ngapiAiseee🥲
Large 🥰Unavaa gauni namba ngapi
mimi msinichekeshe🤣🤣🤣🤣Large 🥰