Highest Paying Jobs in Tanzania

Highest Paying Jobs in Tanzania

hizi sifa si za nchi hii
bwana wewe
hapa bongo kazi zinazolipa ni
1.ubunge,uwaziri na siasa kwa ujumla
2.migodini
3.miradi kwa mfano kwenye ujenzi wa barabara, hasa kitengo cha mafuta.
4.kuendesha mitambo mbalimbali inayotumia diesel hapa wanapiga videbe( ni fedha)
mkuu kwa nchi yetu hii ya bongo humo ndo kwenye fedha.
Hizo taaluma kwa hapa bongo hazithaminiwi na ndio maana wataalamu wengi hukimbia!!!!
 
Umesahau, walimu, waandishi wa habari, wajasiliamali mbalimbali, na wale dada zetu za "ile kazi", zinalipa sana tuu!.

Pasco

= wajasiriamali

Kuhusu "ile kazi" ya dada zako, kumbuka kuwa hata kaka zako wapo wanaojigeuza wanawake na kufanya "ile kazi".
 
Umesahau, walimu, waandishi wa habari, wajasiliamali mbalimbali, na wale dada zetu za "ile kazi", zinalipa sana tuu!.

Pasco

Pasco unaonekana ni mteja mzuri wa wale dada zetu

usiniulize kwanini
 
Last edited by a moderator:
Kibongo bongo
Wauzaji na wabeba unga
Wazee wa kazi (majambazi wa kupora fedha kwa bunduki)
Wanasiasa kuanzia wabunge na mawaziri
 
Mkuu Mo, sii kweli, mimi sii mteja mzuri wa wale dada zetu kwa sasa, bali nilikuwa enzi za ujana!.
Pasco

Enzi za ujana hasa miaka ya 90 ndio ulipamba moto
ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha
Ungekataa ningekupa ushahidi kwa kuwa umekubali ushahidi sikupi hata uombe vipi
sasa hivi umri unaenda na majukumu yameongezeka si unajua timu yako ilivyo
 
Wadanganyeni watu wakaende somea udaktari
 
Mambo yote yako kwenye siasa,ugavi na uhasibu.huko kwingne njaa tupu.
 
Sasa mtoa mada ili niwe doctor natakiwa nisome, medicine sasa kama nataka niwe C.E.O au director nikasome nini, msaada wako nielekeze na hicho chuo cha ma C.E.O natamani sana hyo kazi.

ni sasawa na kuuliza ili niwe Mbunge nisome nini?
C.E.O ni cheo tu i.e. ndiye top wa organizanition, hakuna masomo maalumu ya kusomea ila uwe na management & leadership skills za kutosha
 
Back
Top Bottom