kwa utafiti wangu nimegundua kuwa kazi zifuatazo zinalipa 1.C.E.O(Directors),2.doctors 3.lawyers(jaudges&advocates) 4.soldiers 5.engineers 6.politicians 7.managers 8.accountants .

Asante. Huyu mwanzisha mada haelewi alichoandika. Hivi duniani kazi ya u- manager na u-director utaipata wapi? Na nitaaluma gani walizonazo hao watu?ufinyu wa mawazo ndio inaowasumbua vijana wengi hasa hasa walio vyuoni!!! .kwanza mtoa maada kachanganya taaluma na vyeo!! hii inaonuesha wazi kwamba hajui afanyalo.
kazi inayolipa ni ya kujiajiri mwenyewe.
Umechanganya changanya ila siyo mbaya. Kazi zinazolipa zina itwa MOTO ama FIRE (Finance, Insurance, Real Estate and Entrepreneurship). Ukisema Law (Judges and Advocates), it is too broad, ni wale tu wanaofanya law zinazohusika na FIRE. Same applies to CEO (depends wa nini), hata politician (you can be national chair wa DP bado ukawa civil prisoner kwa kushindwa kulipa deni la laki sita). Suluhisho? FIRE!
Kuwa na mtaji wa milion 20 uje songea nunua shamba hekari 100, lima(vibarua) mahindi kwa kisasa, utavuna kila hekari gunia 25 mara hekari 100 una gunia 2500, gunia moja ni 50,000 ukiuza zote unapata milion 150, ukitoa mtaji unapat million 130, gawanya kwa 12 unapata million 11, je ni wangapi wanapata million 11 kwa mwezi kat ya hao uliowataja, kilimo kinalipa ila mh too risk investiment mvua zikikata imekula kwako.
kwa utafiti wangu nimegundua kuwa kazi zifuatazo zinalipa 1.C.E.O(Directors),2.doctors 3.lawyers(jaudges&advocates) 4.soldiers 5.engineers 6.politicians 7.managers 8.accountants .
anaanza na ipi!?Cyo kazi zote zinazosomewa miaka mitatu zina mshahara sawa hata huko serikalini! Mwenye degree ya ualimu haanzi na scale kama ya uhasibu!