Highest Paying Jobs in Tanzania

Highest Paying Jobs in Tanzania

kazi za kuajiriwa hakuna kitu ni kujiakikishia uakika wa mshahara
 
kwa utafiti wangu nimegundua kuwa kazi zifuatazo zinalipa 1.C.E.O(Directors),2.doctors 3.lawyers(jaudges&advocates) 4.soldiers 5.engineers 6.politicians 7.managers 8.accountants .

Kwel hujui....raha ya kaz marupurupu mshara upo tu...! Kazi poa n askar usalama barabaran....wazee wa paki pemben..
 
kwa utafiti wangu nimegundua kuwa kazi zifuatazo zinalipa 1.C.E.O(Directors),2.doctors 3.lawyers(jaudges&advocates) 4.soldiers 5.engineers 6.politicians 7.managers 8.accountants .
Ni kweli ndugu, hata mimi nilijua hivyo, hasa hizo nilizobold. Ninataka nizisome lakini kila nikisoma prospectus za vyuo mbalimbali hapa nchini sioni kozi za hizo kazi. Nitafanyeje nisomee hizo kazi?
 
ufinyu wa mawazo ndio inaowasumbua vijana wengi hasa hasa walio vyuoni!!! .kwanza mtoa maada kachanganya taaluma na vyeo!! hii inaonuesha wazi kwamba hajui afanyalo.

kazi inayolipa ni ya kujiajiri mwenyewe.

Siyo tu Hajui Afanyalo Bali Kasoma Lakini Hajaelimika.
 
Kazi inayolipa bongo ni siasa unaona mfalme na ukoo wake wote wamekuwa njema,ndo maana hata mzee yusufu anaacha taraab anaenda kugombea ubunge kuna majimbo matatu anayatolea macho
 
Msisahau upasta jaman especially ukiwa na kanisa lako na waumin wako
 
Duuuuuuh! Ebwana umechanganya mambo kuna vyeo na kazi afu doctors ulimasnisha wakutibu au wenye phd? ? Maake Madaktari wa tiba wako lowly paid hawawezi kuwa kwenye hiyo list! Even lawyers are not that good placed its only packable few!
 
Kuwa na mtaji wa milion 20 uje songea nunua shamba hekari 100, lima(vibarua) mahindi kwa kisasa, utavuna kila hekari gunia 25 mara hekari 100 una gunia 2500, gunia moja ni 50,000 ukiuza zote unapata milion 150, ukitoa mtaji unapat million 130, gawanya kwa 12 unapata million 11, je ni wangapi wanapata million 11 kwa mwezi kat ya hao uliowataja, kilimo kinalipa ila mh too risk investiment mvua zikikata imekula kwako.
 
kwa utafiti wangu nimegundua kuwa kazi zifuatazo zinalipa 1.C.E.O(Directors),2.doctors 3.lawyers(jaudges&advocates) 4.soldiers 5.engineers 6.politicians 7.managers 8.accountants .

kazi inayolipa zaidi namba moja ni politucs. jiulize kwa nn hao wahandisi, madokta nk wanaacha taaluma zao na kuingia kwny siasa? refer 300000 per day just an example
 
Kazi inayolipa ni udalali angalia madalali wanavyokula maisha,Msama ni dalali,Majembe ni dalali,TPS,Ubungo Terminal wanaokusanya hela ni madalali nami nimefungua kampuni ya udalali KING KONG ESTATE AGENCY
 
kwa utafiti wangu nimegundua kuwa kazi zifuatazo zinalipa 1.C.E.O(Directors),2.doctors 3.lawyers(jaudges&advocates) 4.soldiers 5.engineers 6.politicians 7.managers 8.accountants .
kazi ya kujiajiri inalipa zaidi ya hizo ulizozitaja
 
Sasa mtoa mada ili niwe doctor natakiwa nisome, medicine sasa kama nataka niwe C.E.O au director nikasome nini, msaada wako nielekeze na hicho chuo cha ma C.E.O natamani sana hyo kazi.
 
Jamani me mshamba naomba kujua Hiyo C.E.O ni kazi gani na proffesion yake chuo na pia hiyo kazi ya umanager ni proffesion gani hizo... maana ndo nasikia leo kuna kazi ya uCEO na uManager na hwa zinatangazwa kweli lol!
 
Back
Top Bottom