Kuombwa namba ni sehemu tu ya uchunguzi wa awali.Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.
Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnakionaje hili?
Umeongea vizuri sana mkuu,alafdu bado wakinyimwa fursa wanahisi wamebaguliwa,kwani kama hutaki hata kama ukimpa namba atakulazimisha?Kuna vitu vingi vya kushirikishana kwenye maisha apart from kutongozana , tatizo wadada mmekariri kuwa tukiwaomba no za simu tunataka kuwatongoza tu .
Naomba namba yako tafadhali...Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.
Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnakionaje hili?
Basi kama ndo wewe niliyekuomba namba kwenye basi, hakika unastahili.Nisamehe tu maana,hadi sasa nakuwaza na natamani siku utakapokuwa Malaika beach kufanya training,tuonane japo kwa siku moja.Angalia WhatsApp tuwasiliane zaidi mtoto mzuriHii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.
Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnakionaje hili?
Sina simu sasa mbonaChenye maana kwako kinaweza kisiwe na maana kwa mwingine , issue hapa ni kufikiri kuwa kila anayeomba no anataka kukutongoza hata na hivyo muamuzi wa kuzuia no itumike kwa minajili ipi ni wewe
Dp yako inavutia kama noti ya dollar 100 , emb nitumie no yako mpendwa

HahahaHahaha uta achaje kunyimwaWengine mmekaa sit moja kwenye daladala tena anasubiri konda ameshachukua nauli ndiyo anaanza kwani unaelekea wapi? Nipe number basi tuongee zaidi
Dah......usiniambie kama unaogopa kutongozwa? Ki kawaida ya kiafrika mwanamke anatakiwa atongozwe angalau mara 5 kwa wiki..ajitathmini.....[emoji41] [emoji482] [emoji482] [emoji490] [emoji490]Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.
Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnakionaje hili?
Mambo na mimi naomba namba yakoHii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.
Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnakionaje hili?
Madame, Sky Eclat naomba no yako basi, ntumie inbox!Hii tabia unakutana na mtu kwenye bus mnasalimiana tu baada ya hapo anaomba number ya simu. Hata kanisani unakuta na mtu mnasalimiana hasa wanaume anaomba number. Kwenye seminar, mnamaliza tu seminar unaombwa bumber.
Kwa mtazamaji wangu kutoa number ni kama kumpa mtu go ahead ya mtongozo.
Mnakionaje hili?