Hi mambo nipe number yako basi


mkichuniwa mnaanza kwenda kwa sangoma,mara oohh mimi hata sikonyezwi,oooh hata kuangaliwa tu siangaliwi etc etc
 
Namba yangu ruksa kuipata lkn sheria lazima uzizingatie vinginevyo andaa mafuta sitakagi usumbufu mimi
 
So kwamba tumekariri inategemea tulipokutana tulikua tuna discuss kitu gani kama tulikua tunadiscuss kitu ambacho kina maana utatoa number bila ata kuombwa lakini sio uanze tu kunisifia sifia alafu mwisho Wa siku uniombe number ñikupe NEVER

Chenye maana kwako kinaweza kisiwe na maana kwa mwingine , issue hapa ni kufikiri kuwa kila anayeomba no anataka kukutongoza hata na hivyo muamuzi wa kuzuia no itumike kwa minajili ipi ni wewe

Dp yako inavutia kama noti ya dollar 100 , emb nitumie no yako mpendwa
 
Bahati hiyo wenzako wanaililia hadi kwa waganga!!!
 
Most of tyme inatokea ivo
 
Shkuru Mungu.

Bado unalipa...
 
Reactions: BAK
Alaf kwel iyo tabia inakera na ukitoa watu ulio kuwa nao karibu wanakuhisi vibaya
 
Mbona kawaida sana ukiona mwanaume anakuomba no. ujue ww umemtengenezea mazingira ya kutongozwa kiuhalisia wanawake ndio huanzisha mahusiano kwa kuonyesha ishara y kuvutiwa na mwanaume ndipo mwanaume anachangamkia fursa kwahiyo hakuna tatizo kuombwa no
 
Aaaaah! Xaxa apo ndo ujue uko guuud
Xax dem unataka uombwe nn?
Kama hutaki kuombwa namba kuwa MUHENGA tu
 
Ndo unaShowaza hicho kutongozwa ila ujue utakuja kupishana na fursa..
 
Ukiona wanaume wa kila aina wanakuomba omba no ovyo ovyo ujue huna value. Sisi wanaume huwa tunaogopa kuomba nu kwa mwanamke anayeonekana anajiheshimu na nzuri. Sasa wewe mtu kakuona sekunde mbili tu kakuomba number ujue kaisha kudegrade na kakuona wewe mwepesi sana.
 
Kwani kutongozwa ni dhambi?? Wenzio wanaenda kwa karimanzila wanatafuta watongozwe wewe unatokwa povu hapa jukwaani..!
 
Naomba namba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…