Khaaaa, kumbe upo?bora uendelee kumpigia rejao chapuo tu coz nakuangalia hapa nisije nikaibiwa bure!ukianza kuandika kidhungu tu nitajua nishaumia coz sielewi kitu miss amerika atakuwa keshaniopolea lol!Kamanda rejao umeopoa tayari halaf inasemekana Miss America anafanya kazi CNN. tayarisha paperworks za kuombea viza rejao. Ukifika huko tusalimie rais wa wabeba maboksi Nyani Ngabu
shikamoo babu!mkuu hawa wengine tuachiege na sisi! Khaaaa!
heheh afazali umehuzuria yaani tangu majuzi hata mswaki sjapiga kwa kukumiss. Miss America atarejea kaenda kununua karolaiti kidogo jua la bongo limechafua rangi yakeKhaaaa, kumbe upo?bora uendelee kumpigia rejao chapuo tu coz nakuangalia hapa nisije nikaibiwa bure!ukianza kuandika kidhungu tu nitajua nishaumia coz sielewi kitu miss amerika atakuwa keshaniopolea lol!
Lol mbavu zangu!hehehe ushanunua dikshineri? Miss Amerika asje akakuambia "condom" wewe ukaitikia "amen" utatuangusha mkuu
smile hii avatar yako mpya imetulia ile mbaya...hiyo miwan tu imenimaliza nguvu!ngoja nikavae nguo kabla hajaniona
heheh afazali umehuzuria yaani tangu majuzi hata mswaki sjapiga kwa kukumiss. Miss America atarejea kaenda kununua karolaiti kidogo jua la bongo limechafua rangi yake
hehehe halaf Mkuu lazima ukaonane na anodi shwazinega mwaka huu. watakukoma kwa mtogole.Lol mbavu zangu!
dikshenari muhimu...hiv siku zote miss bado hajakijua kibongo?
Dikshenari ikishwinda kazi kuna mwalimu bombu atanipiga msasa!
heheeh tena nilinde vizuri honey! manake kuna vidada kibao vinaniPM vinataka at least nikapige picha navyo lakini nimevipiga na chini halaf nikataja jina lako. Watakufa wengi bila kuumwa mwaka huuNipo nilikuwa nasubiri kufumania km hv,ila kwavile nimegundua kuna matuzi ya kidhungu nimeibuka fasta kabla hayajaanza coz nitaambulia patupu!
Pole mahabuba wangu nadhani sas unaweza upiga msawaki nakuoga kbs,kwan niko araundi naimarisha ulinzi shirikishi,si unajua mtu chake!
NN @ work
Watakomaje lol!waambie nina password nitawajibu pm zako kwa loudspika mbona watajuta kunifaham!usijali swty wangu hapa niko full massnondo km komando kipens nalinda mali yangu lol!heheeh tena nilinde vizuri honey! manake kuna vidada kibao vinaniPM vinataka at least nikapige picha navyo lakini nimevipiga na chini halaf nikataja jina lako. Watakufa wengi bila kuumwa mwaka huu
Wala usijali, mi mwenyewe hata nikiwaangalia hata ramani ya trousers yangu haibadiliki maeneo ya zipu. Yaani mimi nikikuona wewe tu ndo napoteza poteza faham. Hakyamjomba hapa nilipo macho yote yamepoteza nuru hata alfabeti ya kwanza nimeisahauWatakomaje lol!waambie nina password nitawajibu pm zako kwa loudspika mbona watajuta kunifaham!usijali swty wangu hapa niko full massnondo km komando kipens nalinda mali yangu lol!
Haaaa haaaaa,mbona raha lol! swty darling mie nataka ukolee mpaka uwe umezimia muda wote nikiwepo mwenyewe ndio fahamu zinarudi nikiondoka unazima tena haaa haaa,hapo uhakika wa kula peke yangu utakuwa 1000%!hata huyo anayetumia kidhungu ataona nyota tu lol!Wala usijali, mi mwenyewe hata nikiwaangalia hata ramani ya trousers yangu haibadiliki maeneo ya zipu. Yaani mimi nikikuona wewe tu ndo napoteza poteza faham. Hakyamjomba hapa nilipo macho yote yamepoteza nuru hata alfabeti ya kwanza nimeisahau
Halaf sjui kapotelea wapi? sjui yupo jukwaa la wakubwa anaongeza maujuzi akampagawishe rejao?!hata huyo anayetumia kidhungu ataona nyota tu lol!
Washasepa hao, wote hawapo na rejao kaondoka watakuwa washakubaliana,tusubiri kesho mkuu rejao atatupa fidbaki lol!sasa nina uhakika na kitu changukitakuwa salama coz mzungu keshasepa nami naenda kuandaa mlo wa jion!badae swty!Halaf sjui kapotelea wapi? sjui yupo jukwaa la wakubwa? anaongeza maujuzi akampagawishe rejao?
baadae honey! acha nipige push up 40 halaf nakujaWashasepa hao, wote hawapo na rejao kaondoka watakuwa washakubaliana,tusubiri kesho mkuu rejao atatupa fidbaki lol!sasa nina uhakika na kitu changukitakuwa salama coz mzungu keshasepa nami naenda kuandaa mlo wa jion!badae swty!
what is that?its my real face...dont u zimikiaring my cute face?
What are you trying to insinuate?
what is that?
baadae honey! acha nipige push up 40 halaf nakuja