Miss America
Member
- Oct 21, 2011
- 35
- 7
- Thread starter
- #21
..........Mmmmhhh you got bad face....is that your real face?lol...tayari nishazimikiwa na mtoto wa kiamerica! check ma mail nimepewa!
..........Mmmmhhh you got bad face....is that your real face?lol...tayari nishazimikiwa na mtoto wa kiamerica! check ma mail nimepewa!
hebu tupe basi maujanja ya kuitumia hiyo lugha ya malkia kulainishia...
Halafu nlikuona pale kwenye mstari wa kumsubiria mtoto wa Malkia, hee! kumbe lugha yenyewe haipandi?
.......Are you a gay?hukuhitaji kusema kiharufu cha kikwapa chako kilitujulisha kama umerudi jamvini!
kumbe na wewe ulikuwepo? hebu tupe kilichojiri! magwanda wameogopa mwaliko! wamekimbilia Arusha...akienda arusha utaona wote wanarudi dar!Halafu nlikuona pale kwenye mstari wa kumsubiria mtoto wa Malkia, hee! kumbe lugha yenyewe haipandi?
hahahahah....lol:ballchain::lol:😛oa.......Are you a gay?
I didnt tell you...i told my friends...are you my friend???ha ha ha JF bwana mweee.. eti du yu miss me? nikumiss wewe kwa kipi??
who is u a friend here miss americai didnt tell you...i told my friends...are you my friend???
You.....who is u a friend here miss america
Na kaipata kweli hebu angalia hili nyomi alilojaza hapa:Unapenda promo wewe, hivi 2015 unataka ugombee jimbo gani naona upo kijamii zaidi
its my real face...dont u zimikiaring my cute face?..........Mmmmhhh you got bad face....is that your real face?
mwaga mail yako na wewe hapa bombu!...mwenzako miss america tayari keshajiwekanitafute, ntakupigia uje pale shuleni kwetu tunatoa elimu kwa walioikosa buree
Toa ushaidi wa uongo wangu!Asprin kwa uongo wewe hujamboa sana kha!!!!
Mkuu hawa wengine tuachiege na sisi! khaaaa!mwaga mail yako na wewe hapa bombu!...mwenzako miss america tayari keshajiweka
.......Are you a gay?
kuna jimbo linaitwa ziwani unguja hukoUnapenda promo wewe, hivi 2015 unataka ugombee jimbo gani naona upo kijamii zaidi
NN namtafuta anipe detail za America lakini naona PAW kamjeruhi...Kamanda rejao umeopoa tayari halaf inasemekana Miss America anafanya kazi CNN. tayarisha paperworks za kuombea viza rejao. Ukifika huko tusalimie rais wa wabeba maboksi Nyani Ngabu
Mkuu hawa wengine tuachiege na sisi! khaaaa!