Hi JF members, am back am miss america

Hi JF members, am back am miss america

mwaga mail yako na wewe hapa bombu!...mwenzako miss america tayari keshajiweka

kwani ile namba yangu siku ile hukuisave? Mie ya kwako ninayo, ntakupigia banaa, nkuelekeze shule iliko. Si utakuja?
 
kwani ile namba yangu siku ile hukuisave? Mie ya kwako ninayo, ntakupigia banaa, nkelekeze shule iliko. Si utakuja?
ngoja nikuPM...mambo yote tunamalizia hapa hapa,,,hamna sababu ya kuinufaisha mitandao ya cm...shule inaanza lini? Nina meeting na Mtoto wa malkia wiki hii.,,,jitahidi mwenzio nisije umbuka!
 
kasafishe kwanza kikwapa!sista duu kiharufu nini siyo mzuka!ukitype kwapa ukiachia kiharufu hadi huku......!bwana ako hajawahi kukuambia kama kikwapa chako kinatema!

Ndugu punguza makali ya maneno yako wajameni si vizuri..............mdogo mdogo basi mweeehhh
 
ngoja nikuPM...mambo yote tunamalizia hapa hapa,,,hamna sababu ya kuinufaisha mitandao ya cm...shule inaanza lini? Nina meeting na Mtoto wa malkia wiki hii.,,,jitahidi mwenzio nisije umbuka!

tehe..shule iko wazi kwa wale walioikosa elimu ni buree, we ukiwa unakuja nibeep ntakupigia nkuelekeze. Halafu ukifika ulizia mwalimu Bombu, ofiis yangu iko opposite na ya mwalimu mkuu
 
Huo wakati wa kupoteza sina hata siku moja nikapange mstari wa kumuona mtoto wa Malkia??/ UMECHEMSHA

Hapo kwenye blue, huwa napenda kwani sipendagi kula vibichi wala vikavu
 
Miss America hela ya cafe imeisha tena nazani, mbona haonekani?
 
Back
Top Bottom