Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,597
hapa stress lazma ziishe.!! we mkale kk..
Pamoko mkuu tunakula naye sahani moko, si katuanza mwenyewe, anatuletea usharobaro hapa! Miss Merikani bongo!!!!??
hapa stress lazma ziishe.!! we mkale kk..
Nimeona mpendwa, huko aliko nadhani atakuwa anafikiria kukupa ajira!.... Ukipata uwe mtiifu kwa bosi, sawa eeh!Sweetlady umeona eeh! Lazima nikomae, kufanya kazi na Miss America mchezo!!!
Nimeona mpendwa, huko aliko nadhani atakuwa anafikiria kukupa ajira!.... Ukipata uwe mtiifu kwa bosi, sawa eeh!
Hahahaha! Sante sana Lukansola, na mimi nazidi kufanya maombi hapa nna hakika maombi yangu hayataenda bure lol!Sweetlady wahenga walishasema chezea mshahara, usichezee kazi. Na nikipata nitakukumbuka kwenye salari ya kwanza kwa ushauri wako mzuri.
[[COLOR=#006400 said:
we kiumbe, mjibu kistaarabu ujue hao ndio wawekezaji.