hi jf am miss america..i need a translator

hi jf am miss america..i need a translator

Sweetlady umeona eeh! Lazima nikomae, kufanya kazi na Miss America mchezo!!!
Nimeona mpendwa, huko aliko nadhani atakuwa anafikiria kukupa ajira!.... Ukipata uwe mtiifu kwa bosi, sawa eeh!
 
Nimeona mpendwa, huko aliko nadhani atakuwa anafikiria kukupa ajira!.... Ukipata uwe mtiifu kwa bosi, sawa eeh!

Sweetlady wahenga walishasema chezea mshahara, usichezee kazi. Na nikipata nitakukumbuka kwenye salari ya kwanza kwa ushauri wako mzuri.
 
Sweetlady wahenga walishasema chezea mshahara, usichezee kazi. Na nikipata nitakukumbuka kwenye salari ya kwanza kwa ushauri wako mzuri.
Hahahaha! Sante sana Lukansola, na mimi nazidi kufanya maombi hapa nna hakika maombi yangu hayataenda bure lol!
 
[[COLOR=#006400 said:
Rejao[/COLOR]]
Acha kutuzingua wewe. Hii JF ni ya wabongo tu. Tunaongelea shida zetu, matatizo yetu na raha zetu. Kama wewe ni mwamerika kaa kando! Nenda kule kwenye facebook yenu.

we kiumbe, mjibu kistaarabu ujue hao ndio wawekezaji.

akili zenu huwa zinalingana, naona mda huu mmepishana. hongereni kwa mmoja wenu kuwa mzalendo na mwingine kuendelea kuwa kuadi wa soko huria
 
Back
Top Bottom