hi jf am miss america..i need a translator

hi jf am miss america..i need a translator

hey guys..i need somebody who gona translate swahili's thread into english as i told before i know nothing about swahili..so who is ready?...i need more than 2people..help me please

Chukua taimu huko, unatuyayusha tu.
We ni m'bongo pyua na kiswahili unakijua fika, sema tu unapima akili za watu humu ndani.
Halafu kama kweli uko America, sisi mara nyingi hua tunazingumza mambo yetu ambayo hayakuhusu,
Mfano kama ukijua labda CCM inachakachuaga kura itakusaidia nini?
Au ukijua kua Dr. Slaa ndie Rais ajaye, we itakusaidia nini?
Yetu tuachie wenyewe Binti!!
 
Kama aking'ang'ania sana aelekezwe Jukwaa la Wakubwa au MMU kwenye jukwaa dogo la Love Connect,
Nahisi labda amepotea njia, pengine hicho ndicho alichofuata hapa JF,
Huku atatupotezea muda tu!!!
Tupate muda wa kujadili ufisadi, hapohapo tena tupate muda wa kumtafsiria yeye,
Uzushi sasa huu!!!!
 
hii lugha imetulia kweli....? au mwalimu wangu wa inglishi kozi ndio kachemka.....wenye lugha zenu hebu semeni...
Nilimuona kule utambulisho nikamstukia... kweli nilijifunza lugha ukubwani ila kwa kweli mmmhhh...... ngoja nipige zangu kimya.
 
hey guys..i need somebody who gona translate swahili's thread into english as i told before i know nothing about swahili..so who is ready?...i need more than 2people..help me please

Bangi bila kula mbaya.
 
jamani hawa wanigeria na ghana hupekuingia kila social website tujiangali mwisho wa siku atalizwa mtu kweli
 
Marekani kubwa anakaa Marekani sehemu gani..

Tandale kwa Tumbo, Yombo Vituka, Pugu Kajungeni, Kwa Mtogole Chaka, Mandazi Road, Gongolamboto..

Haya ni baadhi ya majimbo ya Marekani wewe unakaa jimbo gani?
 
hey guys..i need somebody who gona translate swahili's thread into english as i told before i know nothing about swahili..so who is ready?...i need more than 2people..help me please

aisee.... kweli kuchamba kwingi kutoka na nanihii
 
hhahahaha ..wewe rejao ndio maana ni mwana wanu kinoma ..hahah ....
simba kampiga mtu tena
Ndio nasheherekea hapa ushindi wetu...nashangaa huyu dem anatuzingua watu wazima!
SI, weekiend vp lakin? Ulaya upo chama gani?
 
hey guys..i need somebody who gona translate swahili's thread into english as i told before i know nothing about swahili..so who is ready?...i need more than 2people..help me please

unakaa America ya Burundi au Congo mbona kiingereza chako kipo hovyo,itakuwa unamatatizo yako binafsi wewe
 
Mzee; we kiumbe, mjibu kistaarabu ujue hao ndio wawekezaji

Mkuu umenichekesha kweli. Kwa hiyo wasije wakazila kuwekeza, siyo?
 
Aisee, nipo hapa. Mi mwenyewe nimekulia america ila maisha magumu nikakimbilia mpwapwa. Lugha sijaisahau. (kama hujaelewa hii post niambie).
Senkyu.
 
hey guys..i need somebody who gona translate swahili's thread into english as i told before i know nothing about swahili..so who is ready?...i need more than 2people..help me please

hahahaaa...miss america weee...!!america ya masabuli au?mia
 
Miss America; hey guys..i need somebody who gona translate swahili's thread into english as i told before i know nothing about swahili..so who is ready?...i need more than 2people..help me please

You must be kidding Miss America!
 
Back
Top Bottom