The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
The secretary nilikuambia ukadharau umeona sasa amekuja mwenyewe na kiingletha kingi
Bishanga mwambie huyo mke wako kuwa humu wote hatujasoma tumeishia kindergarten ya chuo kikuu hivyo asituletee viingletha vingi
We Mr.Rocky hajui huku tupo watoto tuliozaliwa uswazi ni kikware kwa kwenda mbele
Last edited by a moderator: