Hi CCs

Hi CCs

Hello guys, this is an introductory note from Mrs Bishanga. I love you all is all i can say for now. Collaboratively will make CCs a better place for everyone. Just take me as I am.

Thanks.

tutashuhudia mengi mwaka huu

huku ndoa zinavunjika

huku wake halali wanaibuka
 
Kudadadadaaaaaaadeeeki sikuwa nimemuona huyu mtu, zile nyumba ndogo za Bishanga sijui zitajificha wapi...!!
 
Last edited by a moderator:
tutashuhudia mengi mwaka huu

huku ndoa zinavunjika

huku wake halali wanaibuka
Ha ha ha haaah!! Bora wake halali wajitokeze ili na sisi mabachela tupate wake, maana hawa wenye nyumba ndogo ndio walikuwa wanaharibu. wake zao wakitia timu humu huenda nyumba ndogo zitakuwa vacant...
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaah!! Bora wake halali wajitokeze ili na sisi mabachela tupate wake, maana hawa wenye nyumba ndogo ndio walikuwa wanaharibu. wake zao wakitia timu humu huenda nyumba ndogo zitakuwa vacant...

kweli kama bi naniliu huwa nambilivu sema namuogopa bro ye anajidai anakisu kikali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom