Said maneno
Member
- Aug 2, 2011
- 38
- 2
Mbuyu ulianza kama tembele,na maendeleo huanza taratibu lakini juhudi na mawazo ya kila mmoja wetu ndo nguzo muhimu.wazalendo ndo wanaoleta maendeleo na wazalendo ndo sisi vijana kwa wazee.habari zenu tena na tena.