Mazee nipo ndani ya Mbeya, ni mpana kupita maelezo,itakuwa poa kama tutaonana japo kwa wale itakaowezekana, pamoja sana full love. I LOVE MY MOTHERLAND
Mtafute MzunguMndali, Eliah G. Kamwela(huyu mzee wa Jacaraanda) halafu kuna jamaa mwingime anajiita Jacaranda .... nimesahau jina lake kamili.
Ila huko najua utawapata na wengine wengi tu...

akimtafuta huyo itabid pia amtafute AmKATRINA
Kuna mtu akirudi kuchangia tena kwenye hii mada najiudhuru JF.....

hahahahaha. Nani huyo?
Tema nyongo mtakatifu Paka, Vipi leo ibada imeendaje?