CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
kifua kikubwa si cha kupumzikia wewe, afu nimepita kwenye uzi flani wakakuongelea kuhusu Mwanza, hivi ilikuwaje??
Heheheheeee Kipipi ukipewa Umod mi naachana na UMOD kabisa bora niwe memba wa kawaida aisee maana hatutaweza kufanya kazi pamoja lol au bora niendelee kufanya kazi kwa kutokea huku kama siku zote
Bata wangu kaenda kuogelea.....maji ya bafuni machafuuuu
ahsante sana beibe nasty kwa kunijulisha, that was an eye opener, ila kweli kuna watu wanajua kupenda, hadi kubadili jina, akikolezwa zaidi huyo C6 nahisi atabadili hadi kabila
charminglady shem wangu hujambo?
There are currently 10 users browsing this thread. (8 members and 2 guests)
We mtambuzi mbona unachungulia sana?
Wamtoe nani!??? Paw, unacheza wewe, mbona kule jukwaa la siasa watu wataitana majina ambayo hata wewe hujawahi fikiria kuyashkia
There are currently 10 users browsing this thread. (8 members and 2 guests)
We mtambuzi mbona unachungulia sana?
Atakuwa kapigwa mkwara na Mama Ngina
Mwenzngu mi nimeona leo watu wamegoma ila soon najipeleka out mwenyewe and ntaenda kuruka majokaswadakta shostito wala hata hujakosea!
pombe kali karibu sana, ila ngoja nikupe yaliyojiri kidogo- Asprin katalikiwa na wakeze wote BADILI TABIA, Yummy na cacico. sweetlady ndoa yake inasuasua, na Kaizer ma swtlo hajambo kabisa ila tu kazidi kunenepa na kupendeza kwani wakeze wote wawili AshaDii na mimi mwenyewe tumezidi kumlea kimanjonjo.
Erickb52 katalikiwa na Amyer, ila cielo ndo anamuokolea jahazi. Mentor kafunga ndoa na wifi yangu wa ukweli Catherine na Ronn M mwanangu wa pekee kamuoa jeneneke Bishanga kafilisika kabisa na siku hizi ndio mfangia banda la mbuzi la Ritz.
kungwi wangu wa ukweli snowhite kaja na huyu ndo anamsaidia muhanga Lonely heart apate sabuni ya moyo wake.
ila naskia pia Paw kazidisha unoko ukienda siasani kimchezomchezo anakulima life ban yeye na Invisible so jukwaa lile uingie ukia tayari una id ya kuzugia .

Heheheheee gfsonwin unamaanisha Amyner gani alonitosa?Erick my love najua umefurahi kuona nimerudi ila sitakuja chitchat ukinimiss mi niko huku jukwaa hili hadi baadae sana. Miss u dia