Je, kuna uwezekano first year mwenye status ya ".... wait for allocation process" ambaye hajabahatika kuwemo kwenye batch ya kwanza akakosa pia kwenye batch ya pili?Ukiona akaunt yako unalog in aibadiliki kukuletea kipengele Cha sipa na wewe ni mwaka wa kwanza wait for batch 2 tarehe 27 ya kwanza aikuwa bahati yako usife moyo
Huyu n wa masters au? Hongera yakeWatu wengine wamejipata
View attachment 2788266
I hope wajibu hiiJe, kuna uwezekano first year mwenye status ya ".... wait for allocation process" ambaye hajabahatika kuwemo kwenye batch ya kwanza akakosa pia kwenye batch ya pili?
Mungu atusaidie kwakweliDuh oya kumbe First year tuliobaki kupangiwa mkopo ni takriban 18,868 out of 75,000 students
Yan maombi ni muhimu tuendelee kuomba sn Mungu maana idadi hyo ni mitego
Mungu atusaidie kwakweliDuh oya kumbe First year tuliobaki kupangiwa mkopo ni takriban 18,868 out of 75,000 students
Yan maombi ni muhimu tuendelee kuomba sn Mungu maana idadi hyo ni mitego
Inaelekea anapiga kozi za Afya au Engineering..Watu wengine wamejipata
View attachment 2788266
Ya upo Tena ni mkubwa 100% waombaji ni wengi pesa chache aijalishi ukukosea kojaza fomu Basi ndo upate mkopo wapo ambao stutas zimewaomba wafanye correction watapata mkopo na wapo ambao fomu zao azina matatizo lakini watakosa mkopo haya mambo ni bahatiJe, kuna uwezekano first year mwenye status ya ".... wait for allocation process" ambaye hajabahatika kuwemo kwenye batch ya kwanza akakosa pia kwenye batch ya pili?

Umeskia wapi mkuuDuh oya kumbe First year tuliobaki kupangiwa mkopo ni takriban 18,868 out of 75,000 students
Yan maombi ni muhimu tuendelee kuomba sn Mungu maana idadi hyo ni mitego
Hvi Kwa continous Kama ulisup ukafany paper wanaweza kupunguza Ada?
Hapana, ila watakufanyia allocation baada ya matokeo ya supp kutoka na kupelekwa Heslb
Kuwa na utulivu Mkuu kwanza na kuomba Ijumaa sio mbali Ila mbali subra ni ibada .Ijumaa mbali duh
Mda sana kipind kile hela zillkua znamwagwa Kam njugu full Bata
Duuh polee yake.View attachment 2787888
Kuna dogo hapa ada 230K alopewa, hapa naona ndugu tutashikana mashati, kuitafuta Milion 2, bodi watu wa hovyo sana.
Kwetu wazazi iwe funzo tuache kunywa pombe za machicha kwenye vilabu vya Kijiji tufanye kaziWanazingua....Kuna mtu kashindea kuomba mkopo Kwa kuwa website yao imekuwa too crappy Kwa karibu siku zote...plus watu wa Rita walizingua kwenye kutoa Verification number ...Kuna dogo huenda akashindwa kwenda chuo Kwa kukosa huo.mkopo
Kukosa umakini ni Kweli mtandao ulikuwa unasumbua ila sio siku zote even hao RitaKwetu wazazi iwe funzo tuache kunywa pombe za machicha kwenye vilabu vya Kijiji tufanye kazi
That's reality, accounts zao (wenye supp) hazina updates kuhusu allocation mpaka matokeo ya sup yatokeWakiingia kwenye account zao za heslb hakuna allocation.Sup Hina uhusiano na mkopo , mbona mnalishana matago pori sana yaani wewe Kama unaendelea na masomo bodi huwa wanalocate mkopo wako hata kabla ya hayo matokeo ya sup ila pale chuoni utasaini mkopo wako kutokana na kuwa na vigezo vyao so acheni kuandika kitu hamna uhakika hamjui mfano Udom matokeo ya sup hutoka mwezi wa kwanza so unadhani mwanafunzi anaweza subiri Hadi mwezi wa kwanza hajapewa maokoto.