HESLB: Batch One Out Now

Alafu naona km stationary na makorombwezo baadhi hawatoi, wengi wanaambulia Tuition fee na Meals and Accommodation bc , hii imekaaje?
Labda mwaka huu watu wengi wamefaulu plus Diploma na boom kuongezwa kwa hiyo mzigo bajeti itabana .

Mwaka jana ilikuwa hivi .

*Meals & Accomodations
*Tuition fees
*Book and Stationery
*SFR (Kwa wa kozi za kilimo na udaktari)
 
Njukazi mkuje kuna maokoto yenu huku yametokaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…