HESLB: Batch One Out Now

Walio maliza form six tu na wamefaulu vizuri mwaka huu ni 200,000+ NACTE wametoa AVN number 150,000+ bado wa walio kuwa makazini achana na waliyo maliza form six na Diploma ndani ya miaka mitano iliyopita. Wote hawa wamejaribu bahati yao.

Board imesema lengo lao kwa mwaka huu ni ku fund wanufaika wapya 75,000 hawa ni wa mwaka wa kwanza na wanaendelea ambao hawakuomba mkopo kabla ya mwaka huu na wapo mwaka wa pili au wa tatu.
 
Waliomaliza form six mwaka huu ni 100,000 tu sasa hiyo 200,000 umeitoa wapi?

Nimeshindwa tu ku upload screenshot ya matokeo ya jumla ya form six mwaka huu.

Ingia website ya NECTA utaona ninachokisema halafu utafuta haya maandishi yako hapa ya uongo.

Tena ni mwaka huu tu ndo idadi ya waliomaliza form six imefikia 100,000 lakini kuanzia mwaka jana kurudi nyuma walikuwa wanaishia 90,000 kurudi chini.
 
Hivi hizi hela tulizoandikiwa kwenye SIPA zetu, huwa zinachukua muda Gani ili kutufikia wanufaika mikonon maana binafc masomo chuoni yameanza Leo rasmi so nahtaji niitumie hela niliyoandikiwa ninunue vifaa vya kusomea km laptop nk.

Wazoefu naombeni muongozo wenu kwenye hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa alichoandika mdau uliyemjibu kama kaandika pasipo na uhakika si jambo zuri maana inakuwa ni upotoshaji kwa wengi.
 
Hujaeleweka. Waliowekewa kuanzia juzi ni batch 2 na HESLB walitangaza kwenye official pages zao.

Batch 3 walisema itatoka kabla ya Novemba 3.

Baada ya batch 3 ndo wataanza ku deal na continueos.
Continous baada ya batch ya 3
So Continous wa appeal tu
 
Penologist unatoa taarifa ambazo hazina ukweli wowote kwamba mwaka wa masomo 2023/2024 Kuna waombaji jumla 250K huu ni uongo then bodi inavyofanya Kazi wengi hatujui zaidi ya kubashiri tu .

Mwaka Jana Kuna watu walipata mkopo mwezi wa kwanza na wengine mwezi wa pili hivyo tusipotoshe mtu Kama kaomba mkopo aendelee kufatilia kwa Ukaribu na kuomba msaada umu wapo wadau wanauelewa na hayo Mambo


Msipende Kukatisha watu tamaa kuwa PESA zimeisha ,mwaka Jana hela iliongezwa na ambao hawakupata wakapata na wengine waliongezewa ada ikawa 100%

Endelea kufatilia Hadi mwisho
 
Watu tumeambiwa wait for final results roho ziko juu juu jmn mungu atusaidie sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…