Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,103
- 34,063
HESLB wana viburi sana MkuuKuna kigugumizi gani kwa bodi ya mkopo HESLB kutoa tozo za VRF ambazo Mh Rais aliagiza zifutwe.
Mpaka muda huu salary slip za mwezi July 2021 bado zinasoma deni la awali ambalo lina VRF na penalt.
Kama ilikua siasa tu tuambiwe na kama HESLB wamegoma kuzitoa pia tuambiwe.
Hata ukiwa na tatizo ukawasiliana nao utachoka bure
Yaani utafikiri hawajasoma.