HESLB bado hawajatoa VRF kwenye salary slip

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
19,974
2,000
Kuna kigugumizi gani kwa bodi ya mkopo HESLB kutoa tozo za VRF ambazo Mh Rais aliagiza zifutwe.

Mpaka muda huu salary slip za mwezi July 2021 bado zinasoma deni la awali ambalo lina VRF na penalt.

Kama ilikua siasa tu tuambiwe na kama HESLB wamegoma kuzitoa pia tuambiwe.
HESLB wana viburi sana Mkuu

Hata ukiwa na tatizo ukawasiliana nao utachoka bure

Yaani utafikiri hawajasoma.
 
Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
19,974
2,000
Nenda kwenye mfumo wa Bodi ya Mikopo utaona deni lako halisi, achana na salary slip
Umefika bodi ya mikopo ukapewa balance statement? Ukaona penalty na vrf hazijaondolewa??

Au shida yako ni kuona tu vimeondolewa kwenye salary slip??
SWALI: Hivi kama kwenye Salary slip inasoma kiasi kikubwa, let's assume 10M na wanakata 100,000/= kila mwezi.

Ukienda kwenye HESLB loan statement ukakuta deni ni 5M baada ya kuondolewa kwa VRF, je wataendelea kukukata 100,000/= ileile kila mwezi? Au wanapaswa wapunguze kwakuwa deni limeshapungua?
 
Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
19,974
2,000
Kwanini wengine deni la bodi limeongezeka kwenye mfumo?
Kwenye mfumo deni kubwa na kwenye slip deni dogo ingawa VRF imefutwa?
Naona hii VRF haijafutwa ingefutwa deni lingepungua sasa bado wembe ni ule ule,huyu Mkurugenzi wa loan board anatakiwa kujitathimini
Mmefuatilia kwny ofisi za HESLB kuomba Loan statement mkakuta hawajaondoa Retention fee?

Lazima deni lipungue.
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
11,362
2,000
SWALI: Hivi kama kwenye Salary slip inasoma kiasi kikubwa, let's assume 10M na wanakata 100,000/= kila mwezi.

Ukienda kwenye HESLB loan statement ukakuta deni ni 5M baada ya kuondolewa kwa VRF, je wataendelea kukukata 100,000/= ileile kila mwezi? Au wanapaswa wapunguze kwakuwa deni limeshapungua?
Makato yapo kwa % na ni asilimia 15 kama unakatwa laki itabaki kuwa hivyohivyo.
 
Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,074
2,000
Mnajichanganya ninyi tu bodi wapo vema na hawana shida. Saizi unajisajili kwenye web yao na unaona deni lako halisi. Hawawezi kwenda kwa waajiri wote kufanya update ya makato kwenye salary slip ni kazi kubwa sana. Wewe chukua statement yako online jua deni lako, au fika bodi jua deni halisi baada ya msamaha.

Kwa mfano mimi kwenye statement ya bodi nadaiwa laki 8 tu. Lakini salary slip inaonesha nadaiwa mil 2.5

Kuna jamaa yangu salary slip inasoma mil 1.8 lakini statement ya bodi ilimwambia kamaliza deni. Alipowasiliana nao wakamwambia akachukue clearance certificate. Unapeleka utumishi wanaondoa Deni.

Wanaoshughulika na salary slip na kuingiza na kutoa makato ni utumishi/mwajiri. Ndio maana hata bank wakikulipia deni haliondoki automatically ila wanapeleka uthibitisho utumishi au kwa mwajiri kuwa ume clear wanaliondoa kwenye makato ya mshahara, maana ni hao hao utumishi waliweka hayo makato walipoletewa orodha na bodi.

Bodi kupata waajiriwa ilikuwa inawatafuta kupitia waajiri sio system za serikali kukunasa juu kwa juu. Hii ina maana mwajiri ndiye anaweza kutoa au kupunguza makato pale anapoambiwa na bodi. Sasa bodi haiwezi fanya hii kazi kubwa hivi, wewe unaedaiwa nenda ujue deni lako. Kwanza saizi wamerahisisha ni kuingia kwa web yao unajisajili unaona kila kitu, wanakupa na control number hapo hapo ya kulipia. Wanakupa option yakulipia mpk tigopesa. Mnalalamika hata bila kuwa well informed.

Wapo ambao wameajiriwa baada ya makato kupanda kuwa 15% hao deni lao halipo mbali na ukweli uliopo kwenye salary slip kwa uzoefu wangu na pengine yanalingana kabisa.
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
11,362
2,000
Mnajichanganya ninyi tu bodi wapo vema na hawana shida. Saizi unajisajili kwenye web yao na unaona deni lako halisi. Hawaweze kwemda kwa waajiri wote kufanya ipdate ya makato kwenye salary slip ni kazi kubwa sana. Wewe chukua statement yako online jua deni lako

Kwa mfano mimi kwenye statement nadaiwa laki 8 tu. Lakini salary slip inaonesha mil 2.5

Kuna jamaa yangu salary slip inasoma mil 1.8 lakini statement ya bodi ilimwambia kamaliza deni. Alipowasiliana nao wakamwambia akachukue clearance certificate. Unapeleka utumishi wanaondoa Deni.

Wanaoshughulika na salary slip na kuingiza na kutoa makato ni utumishi. Ndio maana hata bank wakikulipia deni haliondoki automatically ila unapeleka uthibitisho utumishi kuwa ume clear wanaliondoa kwenye makato ya mshahara, maana ni hao hao uyumishi waliweka hayo makato walipoletewa orodha na bodi. Bodi kupata waajiriwa ilikuwa inawatafuta kupitia waajiri sio system za serikali juu kwa juu. Hii ina maana mwajiri ndie anaweza kutoa au kupunguza makato pale anapoambiwa na bodi. Sasa bodi haiwez fanya hii kazi kubwa hivi, wewe unaedaiwa nenda ujue deni lako. Tena saizi ni kwakutumia simu yako tu wanakupa na control number hapo hapo ya kulipia.

Wapo ambao wameajiriwa baada ya makato kupanda kuwa 15% hao deni lako halipo mbali na ukweli uliopo kwenye salary slip kwa uzoefu wangu na pengine yanalingana kabisa.
Sio kazi kubwa ni mifumo tu ya kitehama inaweza kumaliza hiyo kazi. Au watoe utaratibu kila wadaiwa ktk halmashaur fulani waende kwa ofisi za utumishi kubadilishiwa au ku uodate taarifa zao. Mbona kwenye kuingiza makato mapya haikuwa kazi ngumu? Ila kwenye ku update taarifa inakuwaje kazi ngumu
 
Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,074
2,000
Sio kazi kubwa ni mifumo tu ya kitehama inaweza kumaliza hiyo kazi. Au watoe utaratibu kila wadaiwa ktk halmashaur fulani waende kwa ofisi za utumishi kubadilishiwa au ku uodate taarifa zao. Mbona kwenye kuingiza makato mapya haikuwa kazi ngumu? Ila kwenye ku update taarifa inakuwaje kazi ngumu
Sasa kaa subiri uwe updated, anaeumia ni wewe. Wao wanalamba ela tu. Kwenye system zao deni litaisha, mwajiri ataendelea kukukata utajua nani ana akili zaidi ya mwenzie. Alafu unachokikwepa leo kikufanya utakifanya kwakufunga safari kwenda ofisini kwao ku claim makato yaliyozidi. Kupanga ni kuchagua. Kila la kheri
 
Dodoma leo

Senior Member
Jan 7, 2021
104
250
Sio kazi kubwa ni mifumo tu ya kitehama inaweza kumaliza hiyo kazi. Au watoe utaratibu kila wadaiwa ktk halmashaur fulani waende kwa ofisi za utumishi kubadilishiwa au ku uodate taarifa zao. Mbona kwenye kuingiza makato mapya haikuwa kazi ngumu? Ila kwenye ku update taarifa inakuwaje kazi ngumu
Usiwe mbishi mwajir ndo anaingiz na kutoa makato...fika bodi ushughulikiwe ila nakushaur fika ukiwa unahis umemaliza na mtandoa unasoma hivyo hyo itasaidia kuokoa ghrama... kma bado na unatoka mbal nakushaur subir den liishe ili usiende bod Mara mbil
 
Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
55,237
2,000
SWALI: Hivi kama kwenye Salary slip inasoma kiasi kikubwa, let's assume 10M na wanakata 100,000/= kila mwezi.

Ukienda kwenye HESLB loan statement ukakuta deni ni 5M baada ya kuondolewa kwa VRF, je wataendelea kukukata 100,000/= ileile kila mwezi? Au wanapaswa wapunguze kwakuwa deni limeshapungua?
Wanaendelea kukata vile vile, maana yake ndani ya muda mfupi tu deni lako linaisha
 
Culminate

Member
Jul 24, 2019
73
125
Kwan den la kwenye mtandao(website yao)na verified loan statement unayopewa kuna utofauti?
Utofauti upo ndio maana inabidi uende bodi.

Hata online huwa wanasema watakutumia verified statement ndani ya masaa 72 lakini hawatumi kwa sababu wapo busy kushughulikia statement za watu wanaoenda ofisini kwao.

NB: Ukienda uwahi wanahudumia watu 150 tu kwa siku.
 
Mpelu

Senior Member
Jul 10, 2021
127
225
Utofauti upo ndio maana inabidi uende bodi.

Hata online huwa wanasema watakutumia verified statement ndani ya masaa 72 lakini hawatumi kwa sababu wapo busy kushughulikia statement za watu wanaoenda ofisini kwao.

NB: Ukienda uwahi wanahudumia watu 150 tu kwa siku.

Huo utofauti ukoje?unajua Sisi wengine tupo mikoani kufika makao makuu ni mbali kidogo
 
Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
1,455
2,000
Mnajichanganya ninyi tu bodi wapo vema na hawana shida. Saizi unajisajili kwenye web yao na unaona deni lako halisi. Hawawezi kwenda kwa waajiri wote kufanya update ya makato kwenye salary slip ni kazi kubwa sana. Wewe chukua statement yako online jua deni lako, au fika bodi jua deni halisi baada ya msamaha.

Kwa mfano mimi kwenye statement ya bodi nadaiwa laki 8 tu. Lakini salary slip inaonesha nadaiwa mil 2.5

Kuna jamaa yangu salary slip inasoma mil 1.8 lakini statement ya bodi ilimwambia kamaliza deni. Alipowasiliana nao wakamwambia akachukue clearance certificate. Unapeleka utumishi wanaondoa Deni.

Wanaoshughulika na salary slip na kuingiza na kutoa makato ni utumishi/mwajiri. Ndio maana hata bank wakikulipia deni haliondoki automatically ila wanapeleka uthibitisho utumishi au kwa mwajiri kuwa ume clear wanaliondoa kwenye makato ya mshahara, maana ni hao hao utumishi waliweka hayo makato walipoletewa orodha na bodi.

Bodi kupata waajiriwa ilikuwa inawatafuta kupitia waajiri sio system za serikali kukunasa juu kwa juu. Hii ina maana mwajiri ndiye anaweza kutoa au kupunguza makato pale anapoambiwa na bodi. Sasa bodi haiwezi fanya hii kazi kubwa hivi, wewe unaedaiwa nenda ujue deni lako. Kwanza saizi wamerahisisha ni kuingia kwa web yao unajisajili unaona kila kitu, wanakupa na control number hapo hapo ya kulipia. Wanakupa option yakulipia mpk tigopesa. Mnalalamika hata bila kuwa well informed.

Wapo ambao wameajiriwa baada ya makato kupanda kuwa 15% hao deni lao halipo mbali na ukweli uliopo kwenye salary slip kwa uzoefu wangu na pengine yanalingana kabisa.
Nilichukua statement ofisini kwao Tazara. Statement inaonyesha nadaiwa milioni 2.4
Salary slip inaonyesha milioni 2.19
Wewe unafikiri tunajichanganya kumbe tunajua tunachoongea. Wako watu wengi deni limeongezeka hata baada ya kufuta VRF
 
baiser

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
1,291
2,000
Mimi nashangaa sanaaa haya mambo ya kimfumo tu kinachofanyika ni kupunguza deni automatic kama walivyoliweka .masuala ya kwansa sijui kwa mwajiri n.k ni kupoteza mda ...inabd njia waliotumia kuingiza deni kwenye s.slip ni ile ile itumike kuliondoa au kulipunguza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom