Namna gani ya kurekebisha deni bodi ya mikopo HESLB liandane na salary slip

Thabit Karim

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
366
645
Naombeni kujua ni namna ya kurekebisha taarifa za deni katika makato. Yaani website ya bodi inaonekana deni ni dogo lakini katika salary slip deni ni kubwa. Nipeni hatua za kufanya kwa aliyefanikiwa. Maana naona nataka kupigwa pesa.
 
Back
Top Bottom