Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,841
- 5,920
Mpango Wa SHETANI KUHARIBU ULIMWENGU KUPITIA WANAWAKE
Ni wanaume hawa hawa (wale wasiokimbia majukumu ya ubaba) wakija kubahatika kuzaa watoto wa kike, mitazamo yao inageuka haraka sana. Watataka binti zao wasome wawezeshwe wafike sehemu hawahangaiki kutegemea mwanamme amtunzeHebu acha upumbavu wewe unataka kumpotosha nani nasisitiza wadanganye hao hao wanawake wasio na elimu halafu nani kakudanganya kwamba kujadili masuala ya miaka ya nyuma ni hadi uwe ulikuwepo si ndio maana kuna vitabu vya historia, hata ukisoma historia kuhusu hizo jamii zilizokuwa zinakeketa wanawake wenyewe walikiri kuwa walifanya hivyo ili kusudi wanawake wasiwasaliti waume zao kwa sababu ya kushindwa kuhisi raha ya hilo tendo, sababu wanaume walioa wake wengi kwahiyo walihofia wake zao kuwasaliti pale wanapokuwa kwa wake wengine au hata wanaposafiri hivyo hiyo iliwapa ufahari wanaume kujihakikishia kuwa hakuna wanaotembea na wake zao, maana mwanamke akishakeketwa anakosa hamu ya tendo anakuwa haenjoy kabisa hata anapofanya na mume wake ni mwanaume ndiye anaenjoy, tena kuna jamii nyingine huko somalia mume akisafiri mke alikuwa anashonwa kabisa kwenye sehemu za siri hadi mumewe atakaporudi na ole wake akute pamefumuliwa, halafu wewe unaongea ujinga kutoka kichwani mwako uwe unafuatilia historia za hizo jamii kabla ya kuropoka huu utopolo wako, ni wanaume ndio walifanya wanawake waone ufahari kukeketwa kwa kuwadanganya kuwa ina faida kwao na wakafanya ionekane kama mwanamke asiyekeketwa hafai kuolewa, ni kama ambavyo wanaume walifanya wanawake waone ufahari kudumu kwenye ndoa zenye manyanyaso wanaambiwa wavumilie hawatakiwi kurudi nyumbani kwao sababu wazazi walishakula mahari, na binti akishindwa ndoa aliyekuwa anatukanwa ni mama yake na kuonekana alishindwa kumlea vizuri mwanaye kwahiyo ilimlazimu mama awe mkali kwa binti na kuonekana kama wanawake ndio waliyapenda hayo maisha sasa kwa akili ya kawaida unadhani wanawake wangeweza kufanya hayo kwa hiyari yao na kufurahishwa nayo
Kwahivyo mnaona ni sawa mwanamke afanye kazi za nyumbani pamoja na za shamba wakati huo mumewe anafanya nini halafu tatizo siyo kuzaa tatizo ni kulazimisha wanawake wazae idadi ya watoto wasiowataka halafu mbona unapenda kujitoa ufahamu wewe kwamba hujui kuwa zamani kuzaa watoto wengi ilikuwa ni fahari ya baba, hakuna mwanamke anayependa kuzaa matoto kumi huo ndio ukweli ndio maana wanaume walilazimisha kuoa wake wengi ili wapate watoto wengi zaidi ukiona mwanamke kamzalia mumewe watoto wengi ujue huyo anaogopa tu kuachika ila si kwamba anapenda wewe usijifanye unawajua sana wanawake kuliko wanavyojijua wenyewe, ndio maana hata kwenye dunia ya leo ambayo wanawake wana uhuru na sauti hatuoni tena hao wanawake wanaozaa watoto kumi siku hizi wengi wanazaa watoto wachache na wengine hawataki kabisa kuzaa ila cha ajabu wanaume wanaotaka watoto wengi bado wapo ndio maana tunaona wanazalisha tu wanawake hovyo bila ndoa
Unajua wewe usipende kujitoa ufahamu kwani nani hapa kasema kwamba hizo tabia zilikuwa kwa wanaume wote mimi nimepinga wewe kusema kwamba wanaume wote wa zamani waliwajali wanawake ndio maana nikakuambia kuna jamii wanaume walikuwa wanawaachia wanawake majukumu yote au huko ndio kujali unakokusema, halafu kila jamii ilikuwa na tamaduni zake zilizowakandamiza wanawake katika namna tofauti tofauti jamii nyingine zilikuwa zinafanya hayo niliyoyasema na jamii nyingine zilikuwa zinafanya mengine ambayo sijayasema hapa, mimi nimeshawahi kuenda kijijini kwetu msibani tulienda kumzika nyanya yetu kuna muda tukawa tumejitenga kwa makundi kuna kundi tulikuwa tumekaa mabinti tu pembeni yetu kuna kundi walikuwa wamekaa bibi zetu, wakaona baadhi ya wanaume wanaenda kusomba kuni na kuchota maji kwa ajili ya kupikia tukasikia wanasema vijana wa siku hizi wanajitahidi kujituma na kuwasaidia wanawake, zamani kwenye misiba kama hivi unakuta wanawake ndio walikuwa wanahangaika kufanya kazi zote na kuhudumia wageni wote wanaokuja kuomboleza hadi watakapoanua matanga wanaume walikuwa wanakaa wanasubiri msosi tu, najua kwa akili zako fupi utakuja na ujinga wako wa kusema wanaume ndio walichimba makaburi na kubeba majeneza sasa unadhani hiyo ni kazi ya siku ngapi na inafanywa na watu wangapi mimi ninapoongea haya sikurupuki huwa nafuatilia sana kuhusu tamaduni za jamii mbalimbali, naelewa vizuri ni wapi tulipotoka na wapi tunapoelekea na naelewa kwanini wanawake wa zamani walikuwa vile walivyokuwa na wa sasa kwanini wako hivi walivyo ila wewe unaongea tu chochote kinachokujia kichwani mwako mradi tu na wewe uonekane umejaza server za jf
Ofcourse tukirejea huko zamani wababa wengi walikuwa wanawafanyia mambo mabinti zao kwa maslahi ya hao wababa wenyewe yani wababa walikuwa tayari mabinti zao wafanye lolote kwa maslahi yao binafsi hao wababa, baba alikuwa tayari amuozeshe binti yake kwa lizee asilolipenda ili tu ale mahari ndio maana wababa wengi hawakuwasomesha mabinti zao sababu waliona kama ni hasara maana mwisho wa siku wataenda kuolewa tu, hawa wababa unaoona wanasomesha watoto wao ni matokeo ya jamii kuanza kuamka na kupinga mfumo dume japokuwa leo hii kuna wababa wanasomesha watoto wao ili waje wawasaidie uzeeni so hiyo nayo ni kwa maslahi yao pia kwahiyo tunarudi pale pale
Sasa kati ya mimi na wewe nani ambaye anaongea kwa generalization uzuri mimi katika kila hoja zangu mara nyingi huwa najumuisha maneno "baadhi ya" au "wengi wao", ila wewe kila hoja unayowasema wanawake lazima uandike kana kwamba unawasema wote as if ni wanawake wote wana tabia hizo unazozisema so ingekuwa vizuri kama ungetoa kwanza boriti lililoko jichoni kwako kabla hujatoa kibanzi kilichopo jichoni kwangu, you are the one who should be ashamed of yourself maana kwanza wengi wenu humu mmelelewa na hao hao single mothers kwa sababu ya kutelekezwa na baba zenu halafu leo hii mnajifanya ninyi ndio keyboard warriors kutukana single mothers wa wengine ilihali wa kwenu mnawapenda na mnawaheshimu
🤣🤣BInadamu sijui walishindwa nini kusema ukweli Eva ndiye shetani.
Naomba ufungue kwenye uzi mwingn ili tudiscuss zaidiTuridi mwanzo, tumfahamu shetani kabla hatujaendelea na mjadala huu mzuri.
Fungua nitakuja kuchangia.Naomba ufungue kwenye uzi mwingn ili tudiscuss zaidi
YAni unafiki ulianzia hapo
Fungua nitakuja kuchangia.
Vyuo vikuu vinatengeneza wanawake wa hovyo sana kwaajiri ya jamii. Wanakuwa ni wajuaji,wabishi, non-cooperative, argumentative, aggressive, promiscuous, narcissists, useless, combative, financially illiterated, na mbaya zaidi wanajiona ni high value bila bikra na higher body count.Ukweli mwanamke akifika chuo kikuu sio wa kuoa Tena.
Niliyoyashuhudia UDOM Kwa macho sikuyategemea kabisa!!
Upo sahihi kabisa. Na wanaume kwa kulijua hilo ndipo tunaamua kushika tena mamlaka yetu unakutana na watu wanakupinga na kukupangia, mimi ndio maana nakuwa mkali na mkorofi.Kama tungekuwa wakweli tungekubaliana mapungufu yamwanamke ni matokeo ya udhaifu wamwanaume
Hivi ndio vitoto vya kike ambavyo baba unapambana kukilea kwa upendo baadae kikija kuwa kikubwa kinakuchukia sababu mama yake alikiambia story ya usaliti na kenyewe kananunua ugomvi.Hebu mfikirie kwanza baba yako harafu sasa toa povu
🚫🤣🤣🤣
Sijui huwa anatoka wapi na habari zake za kutumia sifa za watu 10 kuelezea watu milioni 1.Kwetu usukumani hakukuwa na hakuna ukeketeji na wanaume walioa wanawake wengi na haja walitimiziwa
Kuna sababu nyingine
Maana siyo makabira yote walikeketa wanawake
Kaa ukijua hilo
Mimi kwenye hilo kundi la wanaume sijawahi kuwapo na watu waliosapoti Beijing na maswala ya 50/50 kwangu nawaona kama ni magasho tu.Wanaume tukubali tu tumepoteza dunia kwa kukumbatia uhuni na harakati za kipumbafu kama ile ya Beijing
Labda wanawaogopa kwa wizi na umalaya (vijana siku hizi wamepunguza ukali wa maneno kwa kuita “kutendwa”) nje ya hapo hakuna kingine.Wanaogopa wanawake!
Kusomesha mtoto wa kike sio tatizo ni elimu na kumpa kitu cha kufanya maishani. Ila kumpa elimu ya kuishi na mwanaume ni muhimu zaidi.Ni wanaume hawa hawa (wale wasiokimbia majukumu ya ubaba) wakija kubahatika kuzaa watoto wa kike, mitazamo yao inageuka haraka sana. Watataka binti zao wasome wawezeshwe wafike sehemu hawahangaiki kutegemea mwanamme amtunze
Kwahiyo unataka kusema mashetani ni haya yanayotusumbua uraiani sio?🤣🤣🤣🤣🤣BInadamu sijui walishindwa nini kusema ukweli Eva ndiye shetani.
Mungu alimuumba Adam tu, hizi story za Eva alitoka ubavuni mwa Adam ni uongo.
Eva ndiye shetani aliyemrubuni Adam amuasi Muumba wake.
Wakatengeneza story kwamba Shetani alimrubuni Eva, eti naye Eva ndiye akamshawishi Adam.
Hakukuwa na shetani, bali shetani ni Eva.
Mungu alimfukuza shetani toka mbinguni na kumtupa Duniani.
Nani kawahi kukutana na Shetani humu duniani?
Au dunia ziko mbili, Dunia yetu na aliyotupwa shetani?
Na kwa uwezo wa Mungu kwanini asingemtupa shetani Jupiter, kwanini alimchanganya nasi viumbe wake?
Turudi mwanzo, tumfahamu shetani kabla hatujaendelea na mjadala huu mzuri.
Kuna dokta m'moja alishawahi kusema kuwa wanawake huwa hawaumii wakati wa kujifungua kwasababu wangekuwa wanaumia wasingekuwa wanarudi clinic tena kujifungua tena,ila wanaume huwa wanaumia wakipigwa teke au ngumi ya korodani ndio maana huwezi kuta wacheza mpira huwa wanalinda korodani kipindi cha penati maana hawapendi maumivu yake.Wewe Jadda sijui nikuite m’dada,m’mama au m’bibi i don't know yaani wewe kifurushi cha ujinga wa kijinsia ulichojiunga kudhani unajitetea dhidi ya wanaume kimekufanya hadi una-act uwendawazimu.
Unaandika maneno mengi halafu pointless nadhani hata jinsia yako wenye akili tulivu kidogo wanakushangaa mfano ulichoandika post #30 ukisema eti wanawake wanazaa watoto wengi kuogopa kuletewa watoto wa nje,really???hujui kama kuzaa ni baraka,kama mama ana nguvu za kuzaa baba ana nguvu za kulisha familia then wafanyeje?mimba zikiingia wakatoe kama ulivyotoa wewe na wenye akili kama zako?unawaza sawasawa kweli wewe?