Unatakiwa kuwapo na kuishi nyakati fulani ili uziongelee. Sasa wewe hizo nyakati haukuwa umezaliwa how can you tell the experience of how things were during the time ambayo haujawahi kuiishi,au unadhani everybody hapa was born after Mkapa was sworn into presidency!😒 Useless bogaz head kabisa wewe.
So still unakataa na kukwepa ukweli kuwa hawa waliofanya walikuwa ni wanawake,kwa wanawake kwaajiri ya wanawake and never wanaume. Wewe kuna kitu huwa unakubali kwani hata siku moja , hapo utakuja siku kusema hata Period unaingia kwasababu wanaume waliitengeneza kumuumiza mwanamke every month.
Sasa ukiwa timamu unaweza kudhania mwanaume atamtoa mwanamke kitu kinachomfanya amuwaze na kumpa sababu ya kuwa nae kimahusiano? Mwanamke akitolewa kitu kinachompa hamu ya kufanya atamfikiria mwanaume ili iweje sasa?
Hizi ni assumptions na ubashiri but ni inadmissible evidence na unajua kuwa unapika taarifa zako. So why kama ni issue ya kiume itokee kwa jamii zisizozidi 4 au 5 katika jamii yenye zaidi ya jamii 126 tofauti. Tanzania kuna makabila mengi sana, why makabila yasiyofika hata matano wanaume wake ndio waone wanawake kukeketwa ni suluhu ya uaminifu. GTFOH 😒 😒 😒 na hizi delulu feminism concepts zako za kipuuzi.
So unadhani sijasoma hizi takataka unazotumia kama evidence? Nikisema kitu nakuwa nimejiridhisha kuwa sitetei uovu unlike you upo tayari kutetea feminism as if ina faida kwa mtoto wa kike na jamii ya wanawake zaidi ya kutongezea vichaa kama wewe,single mothers watarajiwa kama wewe na most likely kututengenezea broken homes now and in the future.
Kinachotokea unatumia sample ya jamii fulani kudescribe behavior pattern ambayo si ya kweli.
What if nikikwambia hao wanaume walifunzwa na mama zao sababu hizo jamii vijana walikuzwa na mama zao ambao walishindwa ku uphold Patriarchy standards zilizojengwa na wanaume imara previously?
Hakuna mwanaume alishawahi kutaka mwanamke aishi kwenye ndoa yenye manyanyaso unless huyo mwanaume ni sociopath na ana mitazamo ya kikandamizaji kama wewe unavyopenda kupondea wanaume as if ulizaliwa na kulelewa bila baba.
Kama wanawake walikuwa wana nyanyasika mbona wanaume ndio wanarekodi ya kufa mapema kabla ya wake zao tena kwa karibia 90% ya ndoa nyingi? Iweje anayenyanyasa afe kwa magonjwa yasiyokuwa ya zinaa na anaye nyanyasika awe na afya njema na kuishi miaka 30 au 40 zaidi?
Sasa shida inaanzia hapa. Hauna unachofahamu unachojua ni kukinzana, so ume establish vipi uhalisia kuwa wanawake wooteee walikuwa wakifanya kazi za nyumbani na shamba then wanaume hawakuwa wakifanya kitu so unachotaka kusema wanaume ni 0% function katika society in general, WEWE UNA KICHAA I WISH BABA YAKO ASOME HUU UPUUZI ILI AONE TAKATAKA ALIYOLEA HAPA. Ndio shida ya kula ugali wa bure na kusomeshwa St. Francis kwa hela za wazazi unahisi upo entitled kusema chochote.
Aliyekwambia wanawake hulazimishwa kuzaa ni nani mbona wewe ni kajinga hivi lakini, unajua mimi nina wasi wasi upo deprived sexually na haupati mgegedo vizuri. Okay now kuna wanawake wanaomba kuzaa hadi na wanaume za watu hao wanalazimishwa?
Wanafunzi wa kike wanajikamatisha mimba ili waache shule hao nao wanalazimishwa?
Biologically mwanamke asipozaa watoto zaidi ya 3 ana risk kupata kansa ya kizazi na matiti,kuna kitu kinaitwa chango au tumbo la kuchelewa kupata mtoto,hii ikupe tu sababu kwanini mwanamke atatakiwa kupata watoto wengi sababu hata mwili wake unampa hayo maagizo? Upumbavu gani unaleta hapa na wewe ni mtoto wa kike jingaz moja?
Fuatilia vema maswala ya uzazi upate elimu maana unadhalilisha wazazi wako tu aisee. Ila siwezi kushangaa lakini kwasababu so far haujawahi hata kuhudhuria clinic no wonder you know less about femininity in its natural form u know more about feminism as a western ideology and try hard to be masculine. Disgracefully useless.
Usiseme hakuna sema wewe huwezi na haujui. Kuzaa watoto wengi sio dhambi na ni jambo zuri kibaiolojia. Ndio maana mabinti wasasa mnapata issues za uzazi sababu mnakinzana na uhalisia. Shida naongea na mtu ambaye ni mwanamke nje but spiritually ni male and. Devil's disciple ndio maana unachukia mwanamke hadi unakuwa against everything on natural women nature.
Wanaume hawawezi kutaka watoto wengi labda huko vijijini,kuwa na watoto wengi especially maeneo ya mijini ni changamoto kwa mwanaume kwasababu mzigo wa malezi itamuelemea. Speak for yourself ila usiseme wanawake hawapendi kuzaa. Wewe ulishawi kuona wapi mwanamke anasema sipendi kuzaa?
Wanawake nachojua hawapendi kuhangaika na malezi ya watoto sababu ni gharama na kazi ila kuzaa wengi wanapenda na wapo tayari. Wengine anaambiwa hadi na dokta kuwa akizaa tena anaweza kuhatarisha maisha ila bado anabeba tena ujauzito, sasa kama sio kupenda ni nini hapo?
Sijawahi kuona mwanaume ajutie kutopata watoto ila nimeona wanawake wanaoiba hadi watoto baada ya kugundulika ni Tasa. Unasema nini wewe kitoto cha juzi unifundishe mimi kuwajua wanawake leo hii?🤔
Zamani ilikuwa ndio utamaduni kumtunza mwanamke na kumjali utake usitake,unune ucheke, ukae au usimame kumtunza mwanamke ilikuwa ni jadi ya wakati huo. Sasa unabisha, nini kilikuwa kanatokea unavyodhania wewe?😒
Na ukumbe miaka hiyo hiyo ya zamani kulikuwa na mavita ya kikabila, ambapo vijiji vilivamiwa na madui bibi zako na shangazi zako nadhani ndio walitoka kwenda kupambana sababu wanaume walikuwa wamelala ndani wanachat zero brain kabisa wewe?
Simba,chui,tembo ,fisi walipovamia vijiji ni bibi zako, shangazi na wanawake wengine ndio walitoka kwenda kupambana nao usiku wa manane na kurisk kufa vibaya, mamba akikamata mama au mtoto mtoni au akikamata mifugo then ni wanawake hao walitoka kwenda kutatua hizo changamoto ndogo ndogo.
You are such a small time thinker ujue.
Ulichofunzwa kwenye masomo yako ya ufeminist sio kufuatilia historical data kwa kutazama general facts ila unafanya cherry picking ya ideas ambazo zinakusaidia kuja kuleta pumba zako hapa.
Wewe hushindwi kusema baba yako hana mchango wowote hadi wewe kuja hapa Duniani, useless orangutan kabisa wewe.
Hata zipo familia zenye kaya ya wanawake tupu zilikuwa na tamaduni za kuozesha au kubebesha mimba mabinti bila ndoa na kuwatumia kama incubators ili kujaza koo. Hii ipo sana umakondeni. What is your point, bado sijaona mfumo unaongelea ila naona una chukua sehemu ndogo ya jamii fulani then unaifanya kuwa general topic ya wanaume wote. You need to understand reality doesn't compliment your delusional feminism fantasies zako.
Si unaona kama wewe umesoma elimu imekufanya umekuwa hasara ya jamii. Watakaofaidika labda ni wadogo zako kupewa hela za bando na wazazi kidogo kupata senti mbili tatu ila kijamii hakuna faida, maana tumepata kajitu kabishani kasiko na hoja zenye mashiko,hadi sasa haujatutengenezea hata raia m'moja sababu haujaweza kutengeneza mahusiano ya ndoa na mwanaume yoyote na unazidi tu kutubania nafasi wakati muda hui ulitakiwa uwe umetuzalia hata raia 12 kwenye jamii. Useless breed and a disgrace to society.
Sasa kama hauoni kinachoendelea na unatetea upuuzi kwenye jamii nini kitakuzuia ku generalize hoja?
Sawa ila unakuwa unajenga hoja za kushape jamii in which position and towards which direction?
Wanawake ninaowazungumzia mimi hawahitaji utetezi ndio maana sihitaji kusema baadhi sababu tayari nakuwa nimeshatambulisha ni kundi gani ninalolituhumu kwenye jamii.
Mfano nikisema "single mothers" sina haja ya kusema "baadhi ya single mothers" nakuwa tayari nimesha sample ni aina gani ya wanawake nawaongelea. Nikisema wanawake wa kisasa tayari ni sample group hiyo ya wanawake.
Ukiona mtu anajilipua na maadui huyo ni shujaa. Kama kuna watu wamezaliwa na masingle mother na wameamua kuwa against na culture ya usingle mother hao sasa ndio mashujaa wa kwenye jamii wameamua kuzamisha meli ya mazombi wao wakiwa ndani yake ili kuokoa jamii nzima isipotee.
Shida ipo kwa watu kama wewe kukaa kundi moja na wanawake wa hovyo na kusema nitoe bolt sijui jichoni kwangu kabla sijatoa plug kwenye pua yako .